Neuer atajwa kikosi cha awali Ujerumani Kombe la Dunia Kipa nguli wa Bayern Munich, Manuel Neuer anaripotiwa kuwa mbioni kukatisha kustaafu kwake ili kurejea kuitumikia timu ya taifa ya Ujerumani katika michuano ya Kombe la Dunia.
Ancelotti asaini minne Brazil, afichua jambo Shirikisho la Kandanda la Brazil (CBF) limetangaza kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa hilo, Carlo Ancelotti amesaini mkataba mpya wa miaka minne utakaodumu hadi Julai 2030.
Aubrey Modiba anautaka ubingwa CAFCL Beki na kiungo wa Mamelodi Sundowns, Aubrey Modiba, amewataka wachezaji wenzake kubaki na mtazamo chanya kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), dhidi ya...
Chelsea yampa Alonso miaka minne KLABU ya Chelsea imethibitisha rasmi kumteua Xabi Alonso kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka minne.
Black Stars tayari kwa Kombe la Dunia 2026 Chama cha Soka cha Ghana (GFA), kimeachia video maalum inayoonyesha kambi ya timu ya taifa hilo maarufu Black Stars, iliyoko Cardiff, Wales tayari kwa maandalizi ya Fainali za Kombe la Dunia 2026.
Olise azua mjadala kuhusu Ronaldo Winga wa Bayern Munich na Ufaransa, Michael Olise ameibua mjadala baada ya kumtaja Bruno Fernandes kuwa mchezaji bora wa sasa kutoka Ureno badala ya Cristiano Ronaldo.
JKT yazinduka BDL JKT imezinduka katika Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL), baada ya kuifunga Veins BC kwa pointi 57-56 kwenye Uwanja wa Donbosco, Upanga.
Hatimaye Iran wapewa viza kuingia Marekani WACHEZAJI na viongozi wa Timu ya taifa ya Iran imepewa viza ya kuingia Marekani siku chache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia wiki ijayo, maafisa wa Marekani wamethibitisha.
Kocha Ufaransa afiwa, kuondoka kambini kwa muda Kambi ya timu ya Taifa ya Ufaransa imepata pigo baada ya kocha wake mkuu Didier Deschamps kufiwa na mama yake mzazi Marie Borda.
Ishu ya Mukoko kumbe ipo hivi kunibadilisha hapo.” MKEWE KUMBE MWANDISHI BUANA Akizungumzia maisha yake ya familia na uhusiano, Tonombe anafichua kwamba ana mke mtarajiwa, Jose Kitoko na kitaaluma ni mwandishi...