PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUWA: Diamond anavyopita njia ya Ronaldo TANZANIA ndiyo nchi pekee ambayo watu wanaoheshimiwa sana na kuenziwa ni wanasiasa tu. Hakuna wanamichezo. Hakuna wasanii, hakuna wataalamu wanaopewa heshima na nchi. Madaraja yote yamejaa majina...
Mclaren safi, bado Norris MIAKA miwili na nusu imetosha kwa kampuni ya McLaren kuvunja utawala wa kampuni ya Red Bull kukalia usukani kwa muda mrefu bila kushushwa, baada ya mbio za Baku nchini Arzebaijan Jumapili iliyopita.
Jesca afunika DBL Katika michezo, suala la kucheza rafu 'madhambi' ni kawaida na ndiyo maana kumewekwa sheria na adhabu zitolewazo kutokana na mchezaji kufanya vitendo visivyokubalika.
Mkosa aongoza kwa ufungaji KUKIWA kumesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya kukamilisha michezo 30 ya mzunguko wa pili wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BD), mchezaji Amin Mkosa wa timu ya Mchenga Stars anaongoza...
MMESIKIA? Savio imeyatimba kwa Srelio WAMEYATIMBA. Ndicho unachoweza kusema kwa timu ya kikapu ya Savio baada kuingia katika mfumo wa wakali wa kuangusha mibuyu, timu ya Srelio, na kula kichapo cha pointi 65-53 katika mchezo mkali wa...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tuache kumjaza upepo clement mzize Naona Tanzania tumeanza ule mchezo wa Waingereza. Mchezo wa kuongeza sifuri mbele. Mchezo wa kumjaza mtu upepo. Mchezo wa kumpa mtu ukubwa ambao bado hauonekani. Mchezo huo ndiyo uliifanya...
Dk 90 Stars mikononi mwa Mzize, Wazir Jr WASHAMBULIAJI Wazir Junior, Clement Mzize na Cyprian Kachwele wana jukumu kubwa la kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Taifa Stars katika mchezo wa leo dhidi ya Guinea utakaochezwa Uwanja wa...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tupige marufuku makipa wa kigeni NI muda wa kufanya uamuzi mgumu. Ni muda wa kutanguliza Taifa letu mbele. Ni muda wa kuitazama Taifa Stars kwa jicho la pekee.
Vijana waifanyia kweli Savio DBL TIMU ya mpira ya kikapu ya Savio imetikiswa na Vijana 'City Bulls' baada ya kufungwa pointi 77-65 katika Ligi ya mchezo huo Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa...
PRIME Simba yarudi njia kuu, Ahoua mdogomdogo Simba ilianza kwa kuishindilia Tabora United kwa mabao 3-0 kisha kuizima Fountain Gate kwa mabao 4-0 na kukaa kileleni wakati ligi hiyo ikienda mapumziko ya wiki mbili mara baada ya leo kupigwa...