Diallo ashusha presha Man United MANCHESTEER United imepata nguvu ya kutosha ikielekea kumaliza msimu baada ya kutoka kwa taarifa njema kuhusu majeraha ya staa wake, Amad Diallo.
Uefa kufanya mabadiliko matatu BAADA ya kukosoelewa sana kuhusu muundo wao mpya wa Ligi ya Mabingwa, shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) sasa linataka kufanya mabadiliko ya aina tatu katika mashindano hayo kuanzia msimu ujao.
Mudryk afaulu mtihani wa uongo INAELEZWA staa wa Chelsea, Mykhailo Mudryk amefaulu mtihani wa kifaa cha kubaini kama anasema uongo au laa, ikiwa ni katika juhudi za kukusanya ushahidi na kusafisha jina lake dhidi ya tuhuma za...
Aston Villa ina jambo kwa De Bruyne ASTON VILLA wamefanya mazungumzo ya ndani kuhusu uwezekano wa kumsajili nyota wa Manchester City anayetarajiwa kuondoka, Kevin De Bruyne, lakini huenda wakakumbana na ushindani mkubwa kutoka timu...
Luis Enrique ashtukia janja ya Arsenal KOCHA wa Paris Saint Germain, Luis Enrique anaamini Arsenal itatumia mbinu za kupaki basi kama itatangulia kufunga bao la mapema.
Refa Stellenbosch, Simba abadilishwa ghafla Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya ghafla ya refa wa mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Stellenbosch na Simba itakayochezwa...
Raphinha awekewa mzigo wa maana Saudia AL-Hilal imewasilisha ofa ya Pauni 75 milioni kwenda Barcelona kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo ya Catalunya, Raphinha, 28, ambaye inahitaji kumsajili katika dirisha la majira ya...
Rashford aitaka Ligi ya Mabingwa Ulaya MSHAMBULIAJI wa Manchester United anayekipiga kwa mkopo Aston Villa, Marcus Rashford ameanza kutafuta timu nje ya England baada ya kuona hawezi kurudi Old Trafford mwisho wa msimu na anataka...
Salah kumpeleka Osimhen Saudi Arabia BAADA ya kufeli katika harakati zao za kutaka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah dirisha lijalo la majira ya kiangazi, matajiri wa Saudi Arabia, Al-Hilal wanaripotiwa kubadilisha...
Meridian Bet Tanzania | Jinsi ya kujisajili | www.meridianbet.co.tz | Promo code: 1109 Meridian bet Tanzania nikampuni ya kubeti nchini tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria. Katika kampuni hii unaweza kubeti au kucheza Casino Mtandaoni.