SPOTI DOKTA: Euro 2024 haya yamewabeba kufika robo fainali
HATUA ya 16 Bora ya Euro 2024 ilimalizika juzi usiku na kesho, Ijumaa, robo fainali ya kundi la kwanza kwa mechi kali mataifa yenye ligi bora katika soka duniani Hispania vs Ujerumani na Ureno vs...