Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

697 results for Victoria Melkiad :

  1. Hili ndio balaa la Diara mazoezini

    Kama unajiuliza juu ya ubora wa kipa wa Yanga Djigui Diarra jamaa anasumbuaje basi fika mazoezini kwao utajua jamaa ni zaidi ya kipa kwa mambo anayoyafanya huko.

  2. JIWE LA SIKU:Aziz Ki wale Belouizdad ...Subirini!

    Yanga iko kambini na kikosi kizima ambacho kinajiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria, staa wa Mabingwa hao wa Tanzania Stephanie Aziz KI ametoa matumaini...

  3. PRIME Benchikha kuivusha Simba

    KIKOSI cha Simba tayari kipo Ivory Coast kwa mechi ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Asec Mimosas, huku ikipata jeuri kutokana na rekodi tamu za kocha mkuu Abdelhak...

  4. Gamondi awagawa kina Pacome mazoezini

    WAKATI Yanga ikiendelea kujinoa mazoezini ili kujiandaa na mechi dhidi ya Belouizdad ya Algeria, kocha wa kikosi hicho Miguel Gamondi amewagawanya wachezaji wake. Iko hivi. Yanga jana ilikuwa na...

  5. PRIME ASEC haitoboi kwa Simba 

    Simba imetua Ivory Coast tayari kwa maandalizi yao ya mwisho kabla ya kukutana na wenyeji wao ASEC Mimosas, lakini kuna mambo mawili mapema tu yameanza kuwabeba wekundu hao.

  6. Sababu Jobe, Sarr kunyoa rasta

    Wengi wanajiuliza kwanini wachezaji wawili wapya wa Simba Babacar Sarr na Pa Omary Jobe wamenyoa rasta kwa wakati mmoja. Jana picha kutoka mazoezi ya Simba yanayofanyika Mo Arena zilionekana...

  7. Hii hapa sababu Jobe, Sarr kunyoa rasta

    Wengi wanajiuliza kwanini wachezaji wawili wapya wa Simba Babacar Sarr na Pa Omary Jobe wamenyoa rasta kwa wakati mmoja.

  8. Mapema tu kocha Asec aanza sababu dhidi Simba CAFCL

    Kocha wa Asec Mimosas, Juliet Chevalier amesema mechi ijayo ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba inampa presha kutokana na hesabu zao, lakini wana pigo la kumkosa mshambuliaji hatari Sankara...

  9. JIWE LA SIKU: Freddy, Sarr hii ni shoo yenu Ivory Coast

    Simba itavaana na vinara wa Kundi B iliyotangulia robo fainali Asec, Ijumaa ijayo mjini Abidjan, kabla ya kurudi nyumbani mapema mwezi ujao kumalizana na Jwaneng kutoka Botswana na iwapo itapata...

  10. Huyu ndiye Guede, mastaa Yanga wamzungumzia

    Wakati Yanga ikishuka leo kukichapa na KMC katika Uwanja wa Jamuhuri, Morogoro, mastaa wa kikosi hicho akiwemo Pacome Zouzoua wameonyesha imani juu ya straika Joseph Guede.

Previous

Page 49 of 70

Next