Kramo jukwaani Kwa Mkapa WINGA wa Simba asiyetumika kwenye mechi za timu hiyo, Aubin Kramo ametinga jukwaa la Wanahabari ili kushuhudia pambano wa kikosi hicho dhidi ya Al Ahly ya Misri linalopigwa kwenye Uwanja wa...
Nabi aipa Yanga mbinu za kuiua Mamelodi Dar KIKOSI cha Yanga kinajiandaa kushuka uwanjani kesho Jumamosi kukabiliana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, huku kocha wa zamani wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiitabiria kupata matokeo...
PRIME Kocha: Simba, Yanga 3-0 uhakika Kwa Mkapa! Wakati ikisalia siku moja kabla ya Simba na Yanga kuanza kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu hizo...
Job afunguka kuhusu Mamelodi BEKI wa Yanga, Dickson Job amesema wanaifahamu vizuri Mamelodi Sundowns na wapo tayari kwa ajili ya kuvaana nao Jumamosi ijayo.
PRIME Pacome afunguka yote Yanga WAKATI mashabiki wengi wakijiuliza kuhusu hatma ya staa wa Yanga, Pacome Zouzoua kama atakuwepo katika mechi dhidi Mamelodi kutokana na majeraha aliyoyapa hivi karibuni, mwenyewe amewatoa...
Zwane nje Mamelodi ikiivaa Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns ambacho kinatarajiwa kutua nchini kesho kitakuwa bila nahodha wake Themba Zwane, ambaye hatacheza mchezo wa Jumamosi ijayo. Mamelodi itatua nchini na zaidi ya watu...
PRIME Simba yaanza na beki mpya MABOSI wa Simba wajanja sana, wakati wakiendelea na mikakati kuhakikisha timu hiyo inafanya kweli mbele ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, tayarwameanza...
Watano Stars waziwahi Mamelodi, Ahly Dar Nyota watano wa Simba na Yanga wameanza safari ya kurudia nchini kuwahi kambi za timu hizo zinazojiandaa na mechi za CAF wakitokea Baku, Azerbaijan walipokuwa na timu ya taifa 'Taifa Stars'...
Skudu aamua kuuza siri za Mamelodi Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua kwa mazoezi makali kikijiandaa na mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, huku nyota wa timu...
JIWE LA SIKU: Sio Freddy na Guede tu, hata hawa jamaa walichemka Bongo! HUKO mtandaoni na katika vijiwe vya kahawa, kuna mjadala mkubwa juu ya viwango vya nyota wapya wa Simba na Yanga waliosajiliwa kupitia dirisha dogo lililofungwa Januari 15 mwaka huu. Mjadala huo...