Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

693 results for Victoria Melkiad :

  1. PRIME Mastaa nane kufyekwa Simba

    SIMBA bado wanaendelea kuugulia maumivu ya kufungwa kwa mara ya pili katika msimu mmoja wa Ligi Kuu Bara na watani wao, Yanga lakini tayari mabosi wa klabu hiyo wamepanga kufanya uamuzi mgumu wa...

  2. Matola akiri ubingwa ni mgumu

    Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amesema kupoteza tena mbele ya Yanga kumezidi kufanya safari ya ubingwa kuwa ngumu.

  3. Saa 4 kabla ya mechi, Kwa Mkapa jua kaliii

    Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa.

  4. PRIME Nabi, Robertinho walivyoitabiri Dabi

    JUMAMOSI ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel Gamondi na kuacha rekodi kubwa ya kufika Fainali...

  5. Simba, Azam zajitosa Kombe la Muungano, Yanga yachomoa!

    KLABU za Simba na Azam FC zimethibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano inayoenda sambamba na Miaka 60 ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazoadhimishwa Aprili 26, huku...

  6. PRIME Dabi yaigawa familia ya Bacca

    ZANZIBAR: ZIMEBAKI saa zisizopungua 72 kabla ya Simba na Yanga kuvaana katika Kariakoo Derby itakayopigwa Jumamosi ya Aprili 20 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, likiwa ni pambano...

  7. Yanga yatangaza fainali ya ubingwa

    MECHI dhidi ya Simba Jumamosi ni fainali ya ubingwa wao kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Rodgers Gumbo. Amesisitiza kwamba kama kuna mtu anadhani uongozi wao...

  8. Yao aelezea hatma yake Yanga

    Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao ameweka wazi bado ana mambo mengi yanayomvutia ndani ya klabu hiyo na hajafikiria kuondoka.

  9. Benchikha akingiwa kifua kabla ya Kariakoo Derby

    SIMBA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho mjini Singida kukabiliana na Ihefu (Singida Black Stars) katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini wikiendi ijayo itakuwa na kibarua cha Kariakoo Derby...

  10. PRIME Aziz KI asaini Yanga kwa sharti hili

    Yanga imeshinda vita nyingine kubwa ya nje ya uwanja kimyakimya baada ya kumuongeza mkataba wa miaka miwili kiungo wake mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki lakini Mwanaspoti limeambiwa amesaini kwa...

Previous

Page 43 of 70

Next