Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

693 results for Victoria Melkiad :

  1. PRIME Kinzumbi aipeleka Yanga mezani kwa Mazembe, "ni ngumu kukataa"

    WINGA wa TP Mazembe, Philip Kinzumbi amezungumzia taarifa za kutakiwa na Yanga akisema kwa mzuka uliopo ndani ya timu hiyo ni vigumu kukataa ofa yao.

    New Content Item (1)
  2. Siri ubora wa Guede

    MSHAMBULIAJI wa Yanga, Joseph Guede amezungumzia mambo manne yaliyomrejesha kwenye fomu haraka, huku akiweka wazi mipango yake msimu ujao.

  3. Nabi: Yanga hii itachukua sana Bara 

    KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametoa tahadhari kwa timu zingine Ligi Kuu Bara kutokana na moto ilionao Yanga akisema kama hazitakaza, basi ubingwa zitausikia katika bomba kwa miaka...

  4. Baada ya kuifunga Simba, Chirwa arushia kijembe vigogo

    MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Obrey Chirwa ameeleza maana ya ushangiliaji wa bao alilowafunga Simba akisema anawarushia kijembe kuwajibu ambao walimkataa kwa kumuona kuwa ni mshambuliaji mzee.

  5. Beno atua mezani kwa vigogo Yanga

    WAKATI timu zikiwa sokoni kusaka majembe kwa ajili ya msimu ujao, miongoni mwa majina yaliyopo mezani kwa vigogo wa Yanga ni jina la kipa wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya.

  6. PRIME Sikia alichosema beki mpya Yanga, awataja Bacca, Azizi KI

    WAKATI Yanga ikiwa katika hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo kwa ajili ya kumsajili beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka anayetakiwa kuja kuziba nafasi ya Lomalisa Mutambala, mwenyewe...

  7. PRIME Staa Asec aomba kusepa, atajwa kutua Simba

    KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas, Serge Pokou ameomba rasmi kuondoka klabuni hapo huku akihusishwa na Simba inayoelezwa inampigia hesabu kali.

  8. Mastaa Yanga wataka Guede aombwe radhi

    NI kama gari limewaka kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari katika kikosi hicho, lakini huku nyuma mastaa wa kikosi hicho...

  9. Shungu: Beki mpya Yanga ni mtu na nusu

    WAKATI Yanga ikibakiza hatua chache kumalizana na beki wa kushoto wa FC Lupopo, Chadrack Boka, Raul Shungu amewaambia ; “Ni bonge ya beki.”

  10. Mabao ya Freddy yamuibua Phiri

    Phiri alisema kikosi cha Simba kinahitaji wachezaji ambao watajitoa kwa kujiongeza nje ya ufundi ambao utatoka kwa makocha wao.

Previous

Page 41 of 70

Next