Ile penalti ya Atletico ni hivi MOJA kati ya matukio yaliyojiri katika usiku wa michuano ya Ligi ya Mabingwa juzi ilikuwa ni kukataliwa kwa penalti ya staa wa Atletico Madrid Julian Alvarez tukio ambalo lilishangaza watu wengi.
PRIME Simba kuipeleka robo fainali ya CAF Amaan SIMBA imepata matumaini ya kuendelea kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry baada ya serikali kubainisha umefanyiwa...
PRIME Dabi yaliza wengi kwa hasara waliyopata, Yanga yajipanga kwenda CAS KUSHINDWA kupigwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam bado ni gumzo, huku wadau mbalimbali wakilia hasara walizopata kutokana na...
Mason Greenwood kimenuka tena WAKATI mambo yakionekana kumnyookea baada ya kupitia kipindi kigumu akiwa na Manchester United, mapya yaibuka tena kwa mshambuliaji wa Olympique Marseille, Mason Greenwood baada ya kutoanzishwa...
PRIME Maswali 7 Dabi ya Kariakoo kuahirishwa KITENDO cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) kutangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga na Simba, kimeacha maswali mengi na kuzua mijadala kuanzia mtaani...
Buriani Doye Moke, nenda kipa wa boli KIFO kimeumbwa, lakini hakizoeleki. Kifo kinauma kwa vile kinatengenisha wapendanao. Na bahati mbaya ni kwamba kifo hakikwepekwi.
Salah aambiwa baki Liverpool SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah ametakiwa kutoshawishika na ofa za klabu za Saudi Arabia, badala yake abaki Liverpool atengeneze hadhi na heshima hata kama atashinda mataji ya Ligi Kuu...
Vita ya DR Congo yamuibua Vicent Company Vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) vimekuwa mjadala mkubwa ulimwenguni ukigusa nyanja ya michezo Ulaya na Marekani.
PRIME Aziz KI ashtua Dar, anaswa hospitalini Daktari azungumza MAMBO ni moto kwelikweli! Hivyo ndivyo ilivyo katika Ligi Kuu Bara wakati mashabiki wa soka nchini wakijiandaa na kipute cha mchezo wa Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi, wiki hii...
PRIME MZEE WA FACT: Dharau za Carragher kwa AFCON ni muendelezo wa ukoloni Mlinzi wa zamani klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Jamie Carragher, ameonesha dharau kubwa kwa mashindano ya soka ya mataifa ya Afrika, AFCON.