Ligi ya Championship vita imehamia huku WAKATI Ligi ya Championship ikibakisha mzunguko mmoja utakaopigwa Mei 10 ili kuhitimisha msimu wa 2024-2025, tayari Mtibwa Sugar na Mbeya City zimepanda Ligi Kuu, huku 'Wanajeshi wa Mpakani'...
PRIME Vigogo Afrika waingilia dili la Sowah Yanga HAKUNA ubishi, straika wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ni kama ameshindikana kwa moto aliouonyesha kupitia mechi 11 za Ligi Kuu Bara akifunga mabao 11 na kiwango hicho kimezifanya timu...
Bao la Simchimba kuchunguzwa upya na Bodi ya Ligi UTATA wa bao moja alilonyimwa mshambuliaji wa Geita Gold, Andrew Simchimba limetua kwa Bodi ya Ligi (TPLB) na kwa sasa wanafanya uchunguzi kwa kilichotokea katika mchezo wa Championship dhidi ya...
PRIME Mafanikio Simba CAFCC yaivuruga Bodi ya Ligi, TFF SIMBA kimerejea nchini jana kutoka Afrika Kusini ilikoenda kurudiana na Stellenbosch na kufuzu fainali za Kombe la Shirikisho Afrika, lakini kitendo cha Wekundu hao kutinga hatua hiyo kimeleta...
Ushindi Mbeya City wampa mzuka Ambokile MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema ushindi ilioupata kikosi hicho ugenini wa mabao 3-2, dhidi ya Geita Gold, umewapa matumaini makubwa ya kupambana michezo miwili iliyobaki ili...
Mzenji ajipa matumaini Transit Camp KOCHA wa Transit Camp, Mzanzibar Ramadhan Ahmada Idd amesema ushindi wa kikosi hicho wa mabao 4-1, dhidi ya TMA FC ya Arusha umewapa matumaini makubwa ya kuipigania timu hiyo, ili kuondokana na...
Katwila aipa tahadhari Mtibwa Sugar KOCHA wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema kwa sasa timu hiyo ni ngumu kumaliza nafasi nne za juu kwa michezo miwili iliyobakia, baada ya kikosi hicho juzi kulazimishwa sare ya kufungana kwa...
KMC yairudisha Simba mjini Tabora KMC iliyopo nafasi ya 11 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara imetangaza kupeleka mechi yao ya marudiano dhidi ya Simba mjini Tabora, huku mabosi wa klabu huyo kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu...
Yanga, Azam zahamisha vita ya Bara Gombani YANGA juzi usiku ilianza vyema michuano ya Kombe la Muungano kwa kuing’oa KVZ kwa mabao 2-0 na kuungana na Azam FC iliyofuzu mapema kwa kuiondosha KMKM na sasa wanaviziana kuhamishia vita ya Ligi...
Kaseja ana kibarua cha 2015-2016 KOCHA wa Kagera Sugar, Juma Kaseja kwa sasa presha inazidi kupanda kutokana na nafasi iliyopo timu hiyo inayopambana na kutoshuka daraja, ingawa ikiwa atainusuru kupitia mechi tatu zilizobakia...