Kombe la Dunia lawanufaisha washindi 80 WAKATI michuano ya Kombe la Dunia ikifikia tamati Jumapili ya Julai 19, 2026, Watanzania wameendelea kunufaika nje ya uwanja kupitia kampeni ya ya Kombe la Dunia ya "Kila Muamala ni Bao la...
PSG yajiondoa dili la Michael Olise Paris Saint-Germain imejiondoa kwenye mbio za kumsajili winga wa Bayern Munich, Michael Olise, baada ya kukataa kushiriki vita ya dau kubwa la uhamisho.
Tzolis anavyoingia kwenye mfumo wa Arteta BAADA ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 20, Arsenal imeanza harakati za kuimarisha kikosi chake ili kutetea taji hilo msimu ujao, huku jina la Christos...
Twiga Stars ipo tayari kwa WAFCON 2026 KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars Bakari Shime amesema maandalizi ya kikosi chake kuelekea fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 yanaendelea...
LeBron akienda Warriors, NBA inabadili ratiba LIGI ya NBA inaweza kulazimika kufanya mabadiliko makubwa kwenye ratiba ya msimu ujao iwapo nyota mkongwe LeBron James ataamua kujiunga na Golden State Warriors, huku mvuto wa kushirikiana kwake...
Bowen aamua kubaki West Ham NAHODHA wa West Ham United, Jarrod Bowen, ataendelea kubaki katika klabu hiyo wakati timu hiyo ikijiandaa kucheza Ligi Daraja la Kwanza England (Championship) msimu ujao.
Chambua, Ngassa wataka Watanzania kujifunza Kombe la Dunia WAKATI michuano ya Kombe la Dunia 2026 ikielekea ukingoni, wachezaji wa zamani wa Tanzania wametaka wadau wa soka hapa nchini kujifunza mambo mengi katika mechi hizo wakati Tanzania ikielekea...
Seth Curry afungua milango ya kubaki Warriors Seth Curry amesema yupo tayari kuendelea kuitumikia Golden State Warriors ikiwa pande zote zitafikia makubaliano katika kipindi hiki cha usajili wa wachezaji huru (free agency).
Bondia adaiwa kuuawa kwa kuchomwa moto Sauzi TAARIFA kutoka Afrika Kusini zinadai kwamba, Bondia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Roméo Katompa Kaboya, maarufu kwa jina la "Bololo", ameripotiwa kuuawa kwa kuchomwa moto ndani ya...
Je, akili ya De La Fuente itamzima Messi na Argentina? HATIMAYE pazia la Kombe la Dunia 2026 linashushwa kwa pambano la aina yake, ambapo mabingwa wa Ulaya, Hispania, watakutana na mabingwa watetezi wa dunia na Amerika Kusini, Argentina, katika...