Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

887 results for Thobias Sebastian :

  1. Simba, Chama moto umewaka

    WAKATI kukiwa na taarifa tofauti juu ya kurejea wa kiungo wa zamani wa Simba, Clatous Chama raia wa Zambia, uongozi wa klabu hiyo ukiongozwa na Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez wamefanya kikao na...

  2. Namungo, Aussems sasa wanayajenga

    NAMUNGO ni miongoni mwa timu inayopitia wakati mgumu kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri huku ikielezwa kuwa matokeo haya yamepelekea viongozi kuanza kusaka kocha mpya.

  3. Simba yashusha kocha mpya

    ACHANA na furaha waliyokuwa nayo Simba baada ya kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Uongozi wa timu hiyo umeendelea kulisuka benchi la ufundi.

  4. Yanga yaja na staili mpya Desemba 11

    YANGA imeshinda mechi ya kirafiki kwa bao 1-0 dhidi ya Friends Rangers, lakini hiyo ishu. Mchongo mzima ulikuwa ni vile kocha Nasreddine Nabi, alivyokuwa akiisuka staili mpya ya kutaka kuwalaza...

  5. Bado nyie sasa

    SIMBA ileee makundi Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing’oa Red Arrows ya Zambia kwa jumla ya mabao 4-2 na fasta mashabiki wakawaambia Yanga, bado tuwapasue nyie sasa Desemba 11.

  6. Kwa beki ile sijui! Mayele ana sapraiz nyingine

    HOMA ya pambano la watani wa jadi huko mtaani imeanza kupanda huku mjadala mkubwa ukiwa ni mastraika dhidi ya mabeki wa timu hizo. Kila mmoja anatamba. Kwenye kikosi cha Simba wenyeji wa mechi...

  7. Pablo: Ni Ajibu na Mkude

    KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema kikosi chake kina mastaa wengi wenye uwezo lakini amevutiwa zaidi na juhudi za Ibrahim Ajibu na Jonas Mkude.

  8. Hofu ya Morrison wakiifuata Red Arrows Zambia

    MSHAMBULIAJI wa Simba, Bernard Morrison alionyesha kiwango bora katika mechi ya mzunguko wa kwanza kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows ameonyesha wasiwasi wake akielekea Zambia.

  9. Morrison: Tulieni, kocha achekelea Yanga wanaye

    STAA wa Simba kwa sasa,Mghana Bernard Morrison amesema ubora ambao anaonyesha katika kikosi hicho kwa sasa ni kutokana na majukumu ambayo amepewa na kocha wake mpya Pablo Franco.

  10. Chama ni suala la muda tu, afunguka kila kitu agusia mkwanja wa Yanga

    STAA wa Zambia, Clatous Chama amekiri kusikia tetesi zinazoendelea nchini Tanzania juu yake lakini akalitamkia Mwanaspoti kauli moja; “Muda utaongea.” Chama ambaye kwa sasa anakipiga na Berkane...

Previous

Page 38 of 89

Next