Kwa Kichuya hakuna Okwi wala Ajibu WINGA wa Simba, Shiza Kichuya, si mtu wa mzaha kwani ameweka rekodi ya maana Ligi Kuu Bara ambayo imewashinda mastaa wenzake; Emmanuel Okwi na Ibrahim Ajibu.
Zenji yaanika vikosi timu zake za Taifa KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar, Hemed Suleiman 'Morocco' ametangaza vikosi vya timu za taifa za Wanaume pamoja na ya Wanawake.
Wachezaji 50 waitwaa timu ya taifa Zbar Zbar haijawahi kutwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji tangu ilipoanza kushiriki mashindano hayo
Taifa Stars kuivaa Benin Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza kikosi c ha wachezaji 24, kitakachoingia kambini mwezi ujao kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin.
Ajib aitumia salamu Simba Nyota ya mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib imezidi kung'aa baada ya kufunga mabao mawili na kuingoza timu yake kuichakaza Stand United kwa mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Kambarage...
Marufuku kumzingua Kichuya NAHODHA wa zamani wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amefichua mambo yanayowabeba nyota wawili wa Simba, Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya ambao wamejiapambanua kuwa mastaa wakubwa klabuni hapo.
Mbadala wa Pinto kujulikana Novemba 5 Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) kinatarajia kufanya uchaguzi Novemba 5 mwaka huu.
Kimbunga Okwi chaikumba Ruvu, Singida Utd yachezea kichapo Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amewajibu kwa vitendo wanaomwita 'mhenga' kwa kufunga mabao manne akiongoza Simba kuisambaratisha Ruvu Shooting kwa magoli 7-0 katika mchezo wa ufunguzi wa...
Simba yakata kiu ya mashabiki wake Bao la kiungo Mohamed Ibrahimu limetosha kuipamba Simba Day kwa wenyeji Simba kushinda bao1-0 dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda kwenye Uwanja wa Taifa.
Ajibu, Mussa wamponza Mayanga TAIFA Stars chini ya Kocha Salum Mayanga, imeonekana kuwa na tatizo katika safu yake ya ushambuliaji, lakini kitu cha ajabu nje ya kikosi hicho kuna mastraika tishio kwa kucheka na nyavu...