Hii ndio 'Firt Eleven' 2021 MSIMU uliopita ulikuwa na ushindani mkubwa kwa wachezaji kuwania nafasi za kucheza ili kuzipambania timu zao kupata matokeo.
Kocha Simba atoa faili la ubingwa SIMBA imebadilika! Ni kauli ya kocha mkuu wa timu hiyo, Pablo Franco ambaye amesema tangu amekichukua kikosi hicho timu imeimarika, lakini amelia na eneo la ushambuliaji.
Nabi: Tulieni, tunabeba ndoo ashtukia jambo msimbazi KUNA watu wamefuraahi kupata sare pale Kwa Mkapa juzi, lakini kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amewatuliza mashabiki wa timu yake akisema dhamira yao ya kutwaa ubingwa na mataji yote msimu huu...
Inonga afunguka mazito Simba SHIRIKISHO la mpira wa miguu la DR Congo wala halikukosea kumchagua Henock Inonga Baka ‘Varane’ kuwa beki bora wa msimu uliopita kutokana na kiwango bora alichonacho.
Kama vipi irudiwe GEMU tamu sana. Wachezaji waliipenda na hata mashabiki waliipenda. Takwimu za dakika 90 zinaonyesha hakukuwa na butu butu nyingi ingawa rafu zilionekana.
Mugalu Yanga freshi, Lwanga bado KATIKA mechi ya dabi leo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba, watamkosa kiungo wao mkabaji, Taddeo Lwanga kutokana na majeraha ya mguu ambayo bado yanamsumbua.
Barbara azungumzia hali ya Morrison, Mkude OFISA mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amewaita mashabiki wa timu hiyo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na wanatakiwa kujitokeza kwa wingi kuishangia chama lao.
Hapo vipi UBISHI uko hapa! Nani aanze. Mashabiki vijiweni wamechanganyikiwa na makocha nao mazoezini wanakuna vichwa. Mchuano ni mkali kila mmoja anataka namba Kwa Mkapa kesho.
Hapa hamtoki, Pablo atoa neno KWA ‘mziki’ huu hamtoki, ndio tambo za mashabiki kwenye mitandao ya kijamii pamoja na vijiwe mbalimbali vya soka nchini kila moja akivutia upande wake kuhusu mechi kubwa ya kitaifa yenye historia...
Simba wasipoboresha haya, wataambulia patupu SIMBA imetinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika tangu kuanzishwa kwa mfumo huo 2009 baada ya kuiondoa Red Arrows ya Zambia kwa jumla ya mabao 4-2.