Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9794 results for Mwandishi :

  1. Zubimendi, Norgaard kuwahi pre-season Arsenal

    ARSENAL ina matumaini makubwa kwamba itakamilisha dili la usajili wa Martin Zubimendi na Christian Norgaard kwa wakati kabla ya kuanza kambi ya pre-season huko Hispania, wiki ijayo.

  2. Liverpool kuendelea kumlipa Diogo Jota

    WAKATI dunia ya wanasoka ikiendelea kuombeleza kifo cha mchezaji Diogo Jota, aliyefariki dunia kwa ajali ya gari akiwa na mdogo wake, Andre Silva, klabu yake ya Liverpool imefunguka itaendelea...

  3. Watatu waiangusha Twiga Stars Wafcon

    KICHAPO cha bao 1-0 ilichopokea Twiga Stars kwenye mchezo wa kwanza wa mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika Wanawake (WAFCON) inayoendelea nchini Morocco, imechangiwa na kukosekana kwa nyota...

    TWIGA Pict
  4. Liverpool yatoa ofa ya mwisho

    LIVERPOOL imeweka mezani ofa ya mwisho ya pauni 40 milioni kwenda Crystal Palace ili kumsajili beki Marc Guehi katika dirisha hili na ripoti zinaeleza haitatoa tena ofa nyingine endapo hiyo...

    LIVER Pict
  5. Dili la Rashford kujiunga Barcelona lakwama, Deco atajwa

    Hatma ya Marcus Rashford kujiunga na Barcelona msimu huu wa joto imeingia doa kufuatia ripoti kuwa mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo ya Hispania, Deco, ndiye kikwazo kikuu cha dili hilo kufanyika.

  6. Sasa dili la Gyokeres lipo pazuri

    HATIMAYE, Arsenal imekubali kulipa ada ya Pauni 63.5 milioni ili kuinasa huduma ya straika wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres.

    GYOKE Pict
  7. Kiungo ghali akosa mechi Liverpool

    STAA ghali Ligi Kuu England, Florian Wirtz amekosa mechi ya kwanza ya klabu yake ya Liverpool ilipokipiga na Preston North End, ikiwa ni ya kuanza maandalizi ya pre-season.

    KIUNGO Pict
  8. Gyokeres ajifananisha na Haaland, Kane EPL

    WANASEMA kama hupaishwi, jipaishe mwenyewe. Ndicho anachokifanya straika, Viktor Gyokeres, baada ya kudai kwamba yeye ni mkali kama ilivyo kwa Erling Haaland na Harry Kane ndani ya uwanja.

    GYOKERES Pict
  9. Ishu ya Rashford, Barcelona ipo hivi

    NDOTO ya nyota wa kimataifa wa England na Klabu ya Manchester United, Marcus Rashford ya kutua Barcelona huenda ikatimia hivi karibuni baada ya miamba hiyo ya England kukubali kumtoa kwa mkopo...

    RASHFORD Pict
  10. Kisa Liverpool, Alexander Isak astopishwa

    KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amefunguka alilazimika kumpa ruhusa straika wao Alexander Isak kutokuwepo katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Celtic kutokana na presha kubwa ambayo mchezaji...

    ISAK Pict
Previous

Page 356 of 980

Next