Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. Inyeshe mvua, liwake jua...Simba baba lao

    JUZI katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, Simba ilithibitisha kuwa hakuna cha kuwazuia pale wanapokuwa na jambo lao iwe mvua au jua, baada ya kuichapa Red Arrows bao 3-0 kwenye mchezo wa...

  2. Mastaa Yanga wapewa masharti mapya

    KWENYE mahojiano ya kocha wa mazoezi ya viungo wa Yanga, Helmy Gueldich ambayo alielezea mambo mbalimbali na baada ya kuangalia jinsi alivyoanza kazi yake ndani ya timu hiyo sasa anaendelea...

  3. Yanga yaanza mbinu za Bayern, Mtunisia afunguka...

    MASHABIKI wa Yanga wanafurahia ubora wa timu yao ikiwa imeshinda mechi tano na kutoa sare moja na wako pale juu ya msimamo. Imefichuka kwamba kuna mambo matamu yanatoka klabu za Bayern Munich ya...

  4. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Bwana Pablo Franco ataweza wachezaji wakubwa?

    AMEKUWA na timu kwa siku 10 tu kabla ya mchezo wake wa kwanza lakini kuna kitu kinaonekana. Kocha wa Buyern Munich wa sasa Julian Nagelsmann aliwahi kusema “Kocha bora ni yule anayeweza kujenga...

  5. Aucho na Mukoko ni vita Yanga

    UFUNDI aliouonyesha Khalid Aucho katika dakika 360 alizocheza,zinampa wakati mgumu, Mkongomani, Tonombe Mukoko kuwa na kazi ya ziada lakini wadau wamesifia ushindani wao Yanga.

  6. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Nchimbi angecheza timu ya Pep Guardiola

    SOKA linabadilika kila siku. Sio mchezo wa namba tena, ni mchezo wa majukumu, soka limebadilika sana sio mchezo tena wa kumtegemea namba tisa tu kufunga mabao. Viungo siku hizi wanafunga mabao...

  7. RESPECT: Hili ndilo chama la ubingwa!

    KWA misimu minne mfululizo, Yanga imekuwa ikihaha kurejesha heshima yake katika Ligi Kuu Bara.

  8. Batgol: Kwa Simba hii mtapigwa nyingi

    Kwanza aliwapigia chapuo wachezaji wa kikosi chake akiwamo William Edward, Oscar Mwajanga, Khamis Kanduru, Paul Peter na Crispin Ngushi kuitwa timu za taifa za vijana na wakubwa kwani wana...

  9. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Nina imani na shaka kwa kocha mpya Msimbazi

    NILIKUWA juu ya kitanda nikiperuzi mtandaoni kabla ya kukurupushwa na taarifa ya uteuzi wa kocha mpya wa Simba aitwaye Pablo Franco Martin. Kati ya majina yote ambayo yangeweza kutangazwa na...

  10. Bangala ana jambo lake Yanga

    ZILE kelele Yanga imesajili wanamuziki kutoka DR Congo zimeisha kimya kimya kutokana na soka linalopigwa na nyota wapya wa timu hiyo waliotua kikosini hivi karibuni kila mmoja akitimiza majukumu...

Previous

Page 36 of 98

Next