Yanga wataumia sana Ndicho unavyoweza kuielekezea Yanga katika safari yake kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kipigo ilichokumbana nacho juzi Jumatano usiku.
Kiraka kuvaa buti za Kessy BEKI wa Yanga, Hassan Ramadhan ‘Kessy’ inaelezwa bado amekaza akitaka Sh70 milioni ili asaini mkataba mpya, lakini mabosi wake wanapiga hesabu ndefu na sasa anaweza kupoteza nafasi kwani kuna...
Simba si ya kuhangaikia viungo kutoka nje KATIKA maeneo ya uchezaji soka ambayo nchi imekuwa na utajiri nayo sana, basi ni hili la wachezaji wa kati, yaani viungo. Ni eneo ambalo kwa matakwa ya mpira wa sasa, wachezaji wake wamejikuta...
VIDEO: Huku Samatta, AliKiba kule Joti, Mpoki unakosaje uhondo huu Mchezo huo ni maalumu kwa kuchangia masuala ya elimu katika jiji la Dar es Salaam.
Alikiba atangaza jeshi lake la kumvaa Samatta Mechi hiyo inalengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia elimu mkoa wa Dar es Salaam.
Simba, Yanga kazi ipo Kenya MZUKA umepanda unaambiwa. Mashabiki wa soka nchini Kenya na ukanda wa Afrika Mashariki wamepata mzuka baada ya kuangalia ratiba ya michuano ya SportPesa Super Cup na kubaini Simba na Yanga...
Simba, Yanga kazi ipo Kenya MZUKA umepanda unaambiwa. Mashabiki wa soka nchini Kenya na ukanda wa Afrika Mashariki wamepata mzuka baada ya kuangalia ratiba ya michuano ya SportPesa Super Cup na kubaini Simba na Yanga...
Moto Chini KATIKA Msimu uliopita wa Ligi Kuu tulishuhudia baadhi ya wachezaji wakitesa na timu fulani na mwisho wa msimu wakapata malisho mapya. Sasa unaambiwa huko walikokwenda wanawasha moto hatari.
Mbao FC moto umewaka MAMBO si shwari ndani ya klabu ya Mbao FC kwa sasa, inapoelekea tunaweza kusema mengine kama juhudi binafsi na zenye busara hazitatumika kuinusuru timu hiyo isishuke daraja.