Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

973 results for Oscar Oscar :

  1. Yanga yaikalia Simba kiaina

    VITA ya Simba na Yanga ni kwenye ushindani wa kila jambo, kama upande huu unacheka, kesho utalia na mwingine unapokea furaha, hivyo siyo vitu vya kushangaza ndani ya klabu hizo.

  2. Mbeya Kwanza, KMC hakuna mbabe

    Kwanza wakimtoa Oscar Mwajanga na kumwingiza Hamis Kanduru dakika ya 80. Mabadiliko hayo yaliwanufaisha Mbeya Kwanza kwa kusawazisha bao dakika ya 90 kupitia kwa Kyombo aliyesukuma mpira...

  3. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kibu anahitaji ubongo halisi wa DR Congo

    MTU mmoja alinitingisha mtaani akaniuliza namna ninavyomtazama mshambuliaji mpya wa Simba, Kibu Dennis. Amekuwa akicheza mara kwa mara katika siku za usoni. Kwa miaka ya usoni Simba haijawa...

  4. Dah wamepotea moja kwa moja

    SOKA siku zote ni mchezo wa namba zinazopanda na kushuka na ili mchezaji aendelee kusalia katika timu anayocheza au kwenda sehemu nyingine, lakini kama namba zikiwa zinashuka moja kwa moja...

  5. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Fiston Mayele bidhaa adimu isiyopatikana sokoni

    MARA ya mwisho Yanga kuwa na safu ya uhakika ya ushambuliaji ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Ni kipindi kile ambacho Mrundi Amiss Tambwe alikuwa anaongoza mstari wa ushambuliaji, huku pembeni...

  6. Afcon mambo moto, mastaa wote vikosi 24

    Miranda (Niki Volos, Ugiriki). Washambuliaji: Dorian Hanza (Langreo, Hispania), Luis Nlavo (Sporting Braga, Ureno), Emilio Nsue (huru), Pedro Oba (Futuro Kings, Guinea ya Ikweta), Iban Salvador...

  7. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Bado malaika wa heri anatembea na Ibrahim Ajib

    MIEZI mitano iliyopita nilieleza hapa kwamba, Ibrahim Ajibu amepata bahati kubaki Simba. Simba walimpoteza Clatous Chama na Luis Miquissone pasipo kutarajia, lakini ghafla wakajikuta wanamhitaji...

  8. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Sure Boy, maandishi yalisomeka ukutani

    LINAPOTOKEA jambo ambalo lilionekana litatokea kwa muda mrefu wazungu wanasema “The writing was on the wall”. Tafsiri isiyo rasmi ni kuwa ‘maandishi yalikuwa ukutani’. Ndivyo unavyoweza kusema...

  9. Yanga yaizidi akili Simba

    , 2014. Msimu uliopita Yanga ilijaribu kuifukuzia rekodi hiyo kwa kuchez mechi 32 bila kupoteza akiunganisha mechi 11 za msimu wa 2019-2020 na 21 za 2020-2021 kabla ya Coastal Union kuwatibuliwa...

  10. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Dirisha la usajili linakuja na maswali mazito

    KILE kipindi kinachosisimua zaidi nchini kimewadia. Kipindi cha usajili. Rafiki yangu mmoja hupenda kutania kwamba Tanzania usajili unavutia zaidi kuliko ligi yake. Ni utani ambao ndani yake kuna...

Previous

Page 34 of 98

Next