Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9778 results for Mwandishi :

  1. Mazungumzo ya Salah na Besiktas yafikia mwisho

    BESIKTAS imedai kusitisha rasmi mazungumzo ya kumsajili nyota wa Misri, Mohamed Salah, baada ya pande hizo kushindwa kufikia mwafaka wa kifedha licha ya kufanya mikutano mitatu.

  2. Wacheza gofu 150 kuchuana Vodacom Corporate Masters

    ZAIDI ya wachezaji 150 wa gofu kutoka ndani na nje ya Tanzania, wanatarajiwa kushiriki mashindano ya Vodacom Corporate Masters 2026 yatakayofanyika Agosti 1, 2026 kwenye Viwanja vya Gofu Lugalo...

    GOFU Pict
  3. Chambua, Ngassa wataka Watanzania kujifunza Kombe la Dunia

    WAKATI michuano ya Kombe la Dunia 2026 ikielekea ukingoni, wachezaji wa zamani wa Tanzania wametaka wadau wa soka hapa nchini kujifunza mambo mengi katika mechi hizo wakati Tanzania ikielekea...

    CHAMBUA Pict
  4. Bowen aamua kubaki West Ham

    NAHODHA wa West Ham United, Jarrod Bowen, ataendelea kubaki katika klabu hiyo wakati timu hiyo ikijiandaa kucheza Ligi Daraja la Kwanza England (Championship) msimu ujao.

    BOWEN Pict
  5. Malaga yafunga penalti goli tupu baada ya Fulham kutoka Uwanjani

    MCHEZO wa kirafiki kati ya Malaga na Fulham ulimalizika kwa tukio la kushangaza leo, Jumatano, baada ya Malaga kupiga penalti kwenye goli tupu wakati wachezaji wa Fulham wakitoka uwanjani.

    MALAGA Pict
  6. Yanga inaanza safari ya kutetea ubingwa Ligi Kuu

    SAFU ya ulinzi ya Namungo leo inalazimika kuwa katika kiwango bora na kucheza kwa nidhamu kubwa dhidi ya Yanga ili iondoke na pointi nyumbani katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara...

    YANGA Pict
  7. Fenerbahce yamtaka Rashford

    KLABU ya Fenerbahce ya Uturuki ipo tayari kuvunja benki ili kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, katika moja ya usajili mkubwa unaotarajiwa kufanyika dirisha hili la...

  8. Baada ya Liverpool, Salah aanza safari mpya Trabzonspor

    BAADA ya miezi kadhaa ya sintofahamu kuhusu hatima yake tangu aondoke Liverpool, mshambuliaji wa Misri, Mohamed Salah, amejiunga na Trabzonspor ya Uturuki.

  9. Ibenge ashindwa kujiunga na kambi ya Azam Rwanda

    KAMA inavyofahamika kuwa kikosi cha Azam FC kiko nchini Rwanda kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 2026-2027, lakini habari mpya ni kwamba kocha mkuu, Florent Ibenge raia wa DR Congo, wasaidizi...

  10. Sababu Simba kukosa uwanja wa mazoezi Kagera

    KUFUATIA Simba kukosa uwanja wa kufanyia mazoezi kabla ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Jacob Nkwera, amesema viwanja vipo, ila changamoto ilikuwa...

    UWANJA Pict
Previous

Page 321 of 978

Next