Majeraha yamstaafisha Mjapan wa Liverpool KIUNGO wa Liverpool na timu ya taifa ya Japan, Wataru Endo ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa, ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe kwenye kikosi cha timu hiyo kinachoshiriki Kombe la...
Sababu ya Lingard kuitwa ‘Jlingz’ yafichuka SABABU ya kiungo Jesse Lingard kutumia jina la “JLingz” mgongoni mwa jezi yake imefichuka baada ya Corinthians kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Barra katika michuano ya Copa do Brasil.
Dar city, Veins nje ya BDL DAR City na Veins BC ndizo zinazoongoza kwa kuwa na nyota wazawa wengi ziliowasajili katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, jambo linaloonyesha kwamba nje ya uwanja zimeonyesha...
Salah aendeleza makali Kombe la Dunia LICHA ya timu ya taifa ya Misri kuanza kampeni za Kombe la Dunia kwa sare ya bao 1-1, dhidi ya Ubelgiji, ila nyota wa kikosi hicho, Mohamed Salah ameandika rekodi mbili za kibabe.
Polisi wajigeuza 'maskoti' msako dawa za kulevya Kombe la Dunia POLISI wa Peru wametumia mbinu isiyo ya kawaida katika mapambano dhidi ya biashara ya dawa za kulevya, kwa kufanya operesheni maalumu mjini Lima wakiwa wamevalia mavazi ya vinyago rasmi vya Kombe...
Brazil yaichapa Scotland, Neymar arudisha mzuka Brazil imefanikiwa kumaliza kinara wa kundi lake ikikata tiketi ya kutinga hatua ya 32 bora, ikiichapa Scotland kwa mabao 3-0, ikimaliza kibabe mechi za makundi.
Ivory Coast yatinga 32 bora kibabe ikiichapa Curacao Mabao mawili ya mshambuliaji Nicolas Pepe yametosha kuihakikishia ushindi muhimu wa mabao 2-0 dhidi ya Curacao, ikifuzu hatua ya 32 bora kwenye Fainali za Kombe la Dunia.
Kisa Singida BS, Azam yahaha kwa Kitambala AZAM inahaha kumrudisha kundini mshambuliaji wake, Jephte Kitambala ambaye amebakiza hatua chache kumalizana na Singida Black Stars iliyomchukua kwa jeuri ya fedha.
Taylor Swift kufanya harusi ya siri MACHO na masikio ya mashabiki yataelekezwa jijini New York Marekani ambapo staa wa muziki Taylor Swift na mchezaji wa NFL, Travis Kelce wanatarajia kufunga ndoa.