Search

1145 results for Olipa Assa :

  1. Wachezaji wampa tuzo Ibrahim Bacca

    BEKI wa Yanga, Ibarahim Abdullah 'Bacca' amepigiwa kura na baadhi ya wachezaji wa Ligi Kuu, kuona anastahili kunyakua tuzo ya beki bora kwa msimu huu wa 2023/24. Mwanaspoti limezungumza na...

  2. Songo wa JKT Tz kuvaa maski wiki tatu

    NAHODHA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema atavaa kinyago usoni kwa wiki tatu, ili kulinda usalama wa pua, pia kuondoa hali ya hofu inayomsumbua, kutokana na tukio la kuumia uwanjani...

  3. PRIME Haya ndio maneno ya Aucho kwa Hussein Kazi

    BEKI wa Simba, Hussein Kazi alijikuta akilia kwa uchungu baada ya Simba kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, jambo lililowafanya Khalid Aucho na Bakari Mwamnyeto kwenda kumbembeleza na kumpa maneno...

  4. Dabo athibitisha kuwataka Chama, Mzize na Aziz Ki

    Wakati habari za chini ya kapeti zikisema Azam FC inawahitaji mastaa wa Yanga, Stephane Azizi Ki, Clement Mzize, Djigui Diarra na kiungo wa Simba, Clatous Chama kocha wa timu hiyo, Yousuph Dabo...

    New Content Item (1)
  5. Fei: Nilimuagiza Ninja ahamishe vitu vyangu Yanga

    Baada ya beki wa kati wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu 'Ninja' kuzungumzia kuhusika kuvihamisha vitu vya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' katika klabu...

  6. Yanga ilivyomlaza njaa Kingwendu

    Mchekeshaji mkongwe nchini, Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' ni Yanga lialia na kitendo cha timu hiyo kuifunga Simba ndani, nje msimu huu katika Ligi Kuu Bara kimemfanya asahau shida zake na kuupa...

  7. Pawasa alitabiri Simba inakufa 2-1 Kariakoo dabi

    BEKI wa zamani wa Simba, Boniface Pawasa, alipatia utabiri kwamba Yanga itashinda mechi ya Kariakoo Dabi ya jana kwa mabao 2-1. Kabla ya mechi ya Kariakoo Dabi kupigwa jana Jumamosi Aprili 20...

  8. Neema ya Kariakoo Dabi kiuchumi

    Achana na burudani wanayopata mashabiki wa soka nchini inapokuja Dabi ya Kariakoo, lakini ukweli, pambano hilo la watani wa jadi nchini, limekuwa na neema kubwa kwa wachuuzi na wafanyabiashara...

  9. Wakongwe: Ni Dabi ya suluhu au sare

    Mastaa waliowahi kuzichezea Simba na go Yanga wametoa utabiri wa mechi ya Kariakoo Dabi ya Ligi Kuu Bara inayopigwa kesho, Jumamosi, uwanjani Benjamin Mkapa, wengi wao wakiiona suluhu au...

  10. PRIME Mziki wa Mzize wakamata makocha

    Mashabiki majukwaani wanalia na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize lakini upande wa pili kwa makocha wanamwona mshambuliaji huyo kuwa ni bidhaa adimu kisha wakafunguka juu ya vitu vinavyompa...

Previous

Page 4 of 115

Next