Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

195 results for Kelvin Kagambo :

  1. TUONGEE KISHKAJI: Wakenya wapewe namba ya Coy Mzungu, wakachekeshe

    MWANZONI mwa wiki hii, stori iliyotrend ilikuwa ni msanii Willy Paul a.k.a Willy Pozze wa Kenya kudaiwa kugombana na Diamond Platnumz katika shoo iliyofanyika huko Kenya.

  2. TUONGEE KISHKAJI: Marioo anavyoonyesha kiu kukata kiu ya mashabiki kimataifa

    MITANDAONI kunakuwa na mijadala ya watu maarufu wasiochukiwa. Katika soka anatajwa mtu kama N'golo Kante kwamba hata uwe na chuki vipi huwezi kumchukia, hana makuu, hana mbwembwe, anachokifanya...

    Kishkaji Pict
  3. TUONGEE KISHKAJI: Cheche za Super Nyota Young Killer na Super Kingereza

    Hapo zamani za kale wahenga walikaa chini wakatengeneza msemo unaosema, ‘Jifunze lugha ili usipotee’. Nadhani Super Nyota, Young Killer Msodoki alijifunza, lakini... alipotea bado! Hii ni baada...

    Kishkaji Pict
  4. Ujio wa umaarufu wa mtandaoni na dhana ya ‘Famous’ kwa vijana

    WASANII wa siku hizi wanaamini kuwa na 'followers' milioni moja na kadhaa Instagram ni sawa na kuwa Wako Jako wa Bongo. Unakuta mtu anavimba kwa sababu ana tiki ya blue kwenye akaunti yake na...

  5. TUONGEE KISHKAJI: Ni kibosi au kizamani?

    KAMA kuna jambo linalowagusa wasanii wa Tanzania hasa Bongo Fleva na Bongo Movie ni maisha kabla na baada ya umaarufu. Swali kubwa ni je wasanii wetu wanajua jinsi ya kujiweka sawa kabla na baada...

  6. TUONGEEKISHKAJI: Underground wa kisasa hawana cha kuiga kwa mabroo

    NAKUMBUKA Diamond alipoachia ngoma yake ya Kamwambie ikaenda, akaja akaachia Mbagala ikaondoka. Kila msanii mpya aliyekuja alikuwa anaimba kama Diamond Platnum.

  7. TUONGEE KISHKAJI: Kumshindanisha Zuchu na Jide ni kuwatukanisha wote

    WIKI nzima hii mitandaoni vita ilikuwa ni moja; kati ya Lady Jaydee na Zuchu nani mkali wa kuandika ngoma.

    Kishkaji Pict
  8. TUONGEE KISHKAJI: Kwa hili la siasa, wasanii tunawaonea

    KATIKA mitandao ya kijamii lawama kubwa wanayopata baadhi ya wasanii wa Bongo ni ushiriki kwenye masuala ya kisiasa. Baadhi ya watu wanaamini wasanii wa Kibongo wanazingua, wanashiriki kwenye...

  9. TUONGEE KISHKAJI: Sanaa siyo ngazi kutengeneza maskini wenye majina makubwa

    RAPA Lord Eyes ana ngoma inaitwa Sanaa. Kwenye ngoma hiyo, rapa mwenzake wa kundi la Weusi, Joh Makini anaimba kiitikio chenye mistari inayosema “sanaa isiwe kazi ya kutengeneza maskini wenye...

  10. Hadithi ya ndoto za Diamond inavyojirudia

    UKIMTAFUTA mshkaji mmoja aliyekuwa na Diamond Platnumz kule Tandale atakusimulia hii stori. Jioni fulani hivi walikuwa wamekaa kijiweni na Diamond kipindi hicho anaitwa Naseeb. Mara wakahisi...

Previous

Page 4 of 20

Next