Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9760 results for Mwandishi :

  1. Mbappe amshutumu Arbeloa hadharani

    WAKATI mashabiki wa soka wa Ufaransa wakitathmini kikosi cha timu ya taifa lao (The Blues), nahodha wa taifa hilo, Kylian Mbappe ameaendeleza kile kinachoonekana kuwa hali ya mambo ndani ya Real...

    KYLIAN Pict
  2. Mchongo mpya waibuka kuelekea Kombe la Dunia 2026

    Wakati dunia ikisubiri kwa hamu kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2026, kampuni ya ubashiri ya Leonbet imezindua kampeni maalum yenye lengo la kuongeza msisimko kwa mashabiki wa soka kuelekea...

    New Content Item (4)
  3. Kipigo cha 5-1 Kombe la Dunia, Tunisia yamla kichwa kocha mkuu

    TAARIFA zinabainisha kwamba, Shirikisho la Soka la Tunisia (FTF) limeripotiwa kumfuta kazi 'kumla kichwa' kocha Sabri Lamouchi baada ya kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Sweden katika mechi ya kwanza...

  4. Chelsea kumtoa Jackson kwa Juve

    Chelsea FC huenda wakamtumia mshambuliaji Nicolas Jackson kama sehemu ya makubaliano ya kumsajili beki wa Juventus FC, Andrea Cambiaso.

  5. Luke Shaw kukatwa mshahara Man United

    BEKI Luke Shaw atalazimika kukubali kupunguziwa mshahara ikiwa anataka kusaini mkataba mpya na Manchester United.

  6. Uruguay kimeumana huko

    WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Uruguay wamepata pigo jingine baada Shirikisho la Soka la Uruguay (AUF) kuchukua uamuzi kuvunja kambi na kila mtu kutakiwa kujigharamia mwenyewe safari ya...

    URUGUAY Pict
  7. Vurugu zatikisa ufunguzi wa Kombe la Dunia, Mexico

    VURUGU ziliibuka wakati wa ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2026, baada ya waandamanaji kupambana na polisi wa kutuliza ghasia nje ya Uwanja wa Mexico City uliokuwa ukitumika kwa mechi hiyo...

  8. Enzo Maresca aanza na pigo Man City

    JANA, siku ambayo alitangazwa kuwa kocha mpya wa Manchester City, Enzo Maresca, alianza kwa kupokea habari mbaya kuhusu kikosi chake ikielezwa kwamba kiungo na mshindi wa Ballon d’Or 2024...

    MARESCA Pict
  9. Mabadiliko Man United, Michael Carrick akipewa ‘rungu’ 

    BAADA ya matokeo ya suluhu mwishoni mwa wiki iliyopita dhidi ya Sunderland, Manchester United sasa imehamishia nguvu zake zote kwenye maandalizi ya msimu ujao. Huku timu hiyo ikiwa...

    MAN UTD Pict
  10. Casemiro ‘amtolea uvivu’ Jamie Carragher

    NYOTA wa Manchester United, Casemiro, amemchana mchambuzi wa soka Jamie Carragher kwa kauli yake ya dharau aliyoitoa mwaka 2024 alipomwambia kuwa astaafu kwa sababu kiwango chake kimeshuka.

    CASEMIRO Pict
Previous

Page 298 of 976

Next