Kocha: Mbeumo anajipa presha mwenyewe KOCHA wa timu ya taifa ya Cameroon, David Pagou amesema mshambuliaji Bryan Mbeumo anapenda kucheza kwa uhuru, lakini kwa sasa anajiwekea presha kubwa sana katika harakati za kufanya vizuri kwenye...
Dembele anasakwa na Wasaudia MATAJIRI wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia wanaandaa mikakati mikubwa dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kumsajili mshindi wa Ballon d’Or, Ousmane Dembele.
Mourinho apiga kijembe cha Carrick Man United OSE Mourinho ameipiga kijembe Manchester United baada ya klabu hiyo kumteua Michael Carrick kuwa kocha wa muda.
Kocha KMC FC akiri mambo magumu Ligi Kuu BAADA ya sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Coastal Union, kocha Mkuu wa KMC, Mohammed Abdallah ‘Bares’ amesema kikosi chake bado kina hali ngumu, hivyo kinaendelea kupambana kujiondoa mkiani huku...
Clara, Masaka waitwa kukiwasha WAFCON 2026 KOCHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania maarufu Twiga Stars, Bakari Shime ametangaza kikosi cha awali kitakachojiandaa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026,...
Simba yalaani Mangungu kufanyiwa vurugu Benjamin Mkapa Uongozi wa Simba umelaani vitendo vya vurugu alivyofanyiwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Esperance ya Tunisia, leo Jumapili, Februari...
Jude Bellingham azua presha England JUDE Bellingham ameshindwa kujizuia na kuangua kulia baada ya kulazimika kutolewa nje kutokana na jeraha la misuli ya paja akiwa na Real Madrid.
Spurs yamfuta kazi kocha wake Frank KOCHA, Thomas Frank amefutwa kazi ya kuinoa Tottenham Hotpur kutokana na kikosi hicho kupata matokeo ya hovyo.
Eze adai kazi ya mkewe inamtuliza STAA wa Arsenal, Eberechi Eze, amesema kazi ya mkewe kama muuguzi wa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) imempa “ukumbusho wa uhalisia” kuhusu presha ya kufuatilia na kushinda mataji.
Pochettino atajwa kurudi Tottenham Hotspur MABOSI wa Tottenham Hotspur wanadaiwa kuwa katika mpango wa kutaka kumrejesha Mauricio Pochettino katika msimu ujao baada ya kumfuta kazi kocha Thomas Frank.