Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

688 results for Victoria Melkiad :

  1. Kocha Ken Gold: Nakwenda kujitathimini 

    Wakati Ken Gold ikipokea kipigo Cha tatu kwa kupoteza bao 1-0, kocha wa timu hiyo, Fikiri Elias anafikiria kuachia ngazi kuifundisha.

    Kocha Pict
  2. Nasredine Nabi atoa ushauri wa bure Azam FC

    KOCHA wa Kaizer Chiefs, Nasredine Nabi amewatuliza mashabiki na mabosi wa Azam kwa kuwaambia wampe muda kocha mpya kwani ana kitu atawafikisha mbali.

    Nabi Pict
  3. Taoussi ashusha presha Azam FC

    KOCHA mpya wa Azam FC, Rachid Taoussi ameanza na suluhu katika Ligi Kuu Bara akiiongoza kwa mara ya kwanza dhidi ya Pamba Jiji, huku akisema hana presha na matokeo hayo na mambo mazuri yatakuja...

    Azam Pict
  4. Goran ambeba Yona, alili bao Chamazi

    PAMBA Jiji bado inaendelea kujitafuta baada ya kurejea Ligi Kuu ikiwa imepita miaka 23 tangu iliposhuka daraja, lakini kocha wa timu hiyo, Goran Kopunovic akimtaja kipa Yona Amos kama mchezaji...

    Goran Pict
  5. Fadlu: Kijili anachangamoto inayohitaji muda kuisha

    IKIWA imesalia saa chache kabla ya Simba kushuka kwenye Uwanja wa Juni 11, jijini Tripoli Libya kuvaana Al Ahli Tripoli, kocha wa kikosi hicho cha Msimbazi, Fadlu Davids amemtaja Kelvin Kijili...

  6. Mmorocco wa Azam na kipimo cha Pamba

    KOCHA Mkuu mpya wa Azam FC, Rachid Taoussi kwa mara ya kwanza leo Jumamosi anatarajiwa kutupa karata katika mechi ya Ligi Kuu Bara wakati atakapokiongoza kikosi hicho dhidi ya Pamba Jiji, huku...

  7. Tabora United,  Tanzania Prisons kazi ipo

    BAADA ya ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Bara, Tabiora United leo inarudi tena uwanjani kuikabili Tanzania Prisons inayosaka ushindi wa kwanza katika ligi hiyo, mechi itakayopigwa kesho...

  8. PRIME Fadlu kuisapraizi Al Ahli Tripoli

    WAKATI Simba ikiwa njiani kwenda Libya kuvaana na Al Ahli Tripoli, kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids amefunguka jinsi alivyopangwa kuwasapraizi wenyeji wao katika mechi hiyo ya mkondo wa kwanza...

  9. PRIME Simba yafukua faili la Mpanzu

    KAMA uliona bado mapema kwa Simba kutafuta mchezaji wa kumsajili dirisha dogo msimu huu, basi umekosea, kwani Wekundu hao wamegonga hodi tena kwa Winga Mkongoman Elie Mpanzu, huku mwenyewe...

  10. PRIME Hesabu mpya za Yanga kwa Wahabeshi

    WAKATI kesho Alhamisi kikosi cha Yanga kikitarajia kusafiri kuelekea Ethiopia, kuna matumaini yapo kwao ya kufanya vizuri ugenini kabla ya kurudi nyumbani kumalizia kazi.

Previous

Page 30 of 69

Next