Huyo Sakho balaa tupu KAMA unamchukulia poa winga wa Simba, Pape Ousmane Sakho basi pole yako, kwani jamaa naye ana balaa, akivunja ukimya na kuanika alivyojipanga kurudi kwenye Ligi Kuu Bara kwa kishindo, huku...
Masoud subirini itakuwaje UONGOZI wa Dodoma Jiji umempa mkataba wa miezi sita kocha wao mpya Mrundi, Masoud Djuma ambaye atakuwa hapo kwa muda huo na lengo la kwanza ni kuhakikisha ‘Walima Zabibu’ hao hawashuku.
Yanga waiteta Simba kambini VIGOGO wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk. Mshindo Msolla juzi walitimba kambi ya kikosi hicho na kufanya kikao kizito na wachezaji, kubwa ni kupeana michongo mizima ya...
Yanga hii sasa sifa...Mayele, Saido watakata Vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga, wameendeleza moto wao baada ya kupata ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Mkapa.
Farid amtoa Yassin kikosini Farid anacheza katika nafasi hiyo kutokana na kuumwa kwa Bryson Raphael, Kibwana Shomary na Yassin Mustapha ingawa yupo benchi la wachezaji wa akiba.
Chama awauza Berkane, Awapa Simba siri nzito SIMBA imetua mji wa Berkane tayari kwa mechi yao ya kesho dhidi ya RS Berkane, huku kiungo fundi wa mpira ambaye hata hivyo hatatumika kwenye mchezo huo, Clatous Chama akiuza ramani ya vita ya...
Simba ‘yaibia’ mbinu Zamalek SIMBA inajiandaa kulihama Berkane kwenye pambano lao la Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho, lakini juzi usiku ‘iliibia’ mbinu za kivita kutoka kwa Zamalek ya Misri waliokutana nao...
Tuisila aipiga mkwara Simba YULE winga wa zamani wa Yanga kwenye kasi ya kishada, Tuisila Kisinda ambaye sasa anaitumikia RS Berkane, ameipiga mkwara Simba akidai hasira ya kipigo walichopewa na Asec Mimosas zitaishia kwao...
Mkude, Mwenda wamuwahi Mwarabu SIMBA jana ilitua Casablanca tayari kwa safari ya kuifuata RS Berkane mjini Berkane kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku nyota wao, Jonas Mkude na Israel Mwenda wakirejea mapema kuwawahi...
Masoud na Dodoma Jiji ni jambo la muda TU MUDA wowote kuanza sasa uongozi wa Dodoma Jiji utatangaza kuachana na benchi lake la ufundi linaloongozwa na kocha mkuu, Mbwana Makata kubwa lililosababisha hilo ni mwenendo mbaya wa matokeo.