Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1656 results for Daudi Elibahati :

  1. Mbappe wa Azam apelekwa KMC

    UONGOZI wa KMC uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya winga wa Azam FC, Cheickna Diakite ‘Mbappe’ kwa mkopo wa miezi sita, baada ya nyota huyo kuomba kutolewa kwenda timu nyingine ili akapate...

    Mbappe Pict
  2. Amza kujitafuta upya Kagera Sugar

    BAADA ya Klabu ya Kagera Sugar kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa Cameroon, Moubarack Amza kutoka Namungo, nyota huyo ameweka wazi anaenda kujitafuta upya mzunguko wa pili...

  3. Gomez wa Fountan Gate auanza mwaka vibaya

    MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ ameendelea kukumbwa na majanga baada ya kuumia tena nyama za paja, ambazo zilimfanya kukosa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Yanga, ambao kikosi...

  4. PRIME Fadlu acheza akili kubwa Simba

    KIKOSI cha Simba, kinatarajia kuondoka nchini kesho Jumatano alfajiri kwenda Tunisia kwa ajili ya mchezo wa nne wa makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya nchini humo, huku...

    Fadlu Pict
  5. Makocha Walioufunga Mwaka 2024 wakitimuliwa

    WAKATI kesho tukitarajia kuingia mwaka mpya wa 2025 kwa kudra za Mwenyezi Mungu, tayari makocha 12 wa Ligi Kuu Bara kati ya timu 16 zinazoshiriki msimu wa 2024-2025, wameondoka ikiwa ndio kwanza...

    MAKOCHA Pict
  6. Watano wakoleza moto Chama la Wana

    MABOSI wa ‘Chama la Wana’, Stand United wameanza kuboresha kikosi hicho katika dirisha hili dogo kwa kuingiza nyota wapya watano watakaoongeza morali na wale waliopo, kwa lengo la kuhakikisha...

    Stand Pict
  7. Josiah aachiwa msala Tanzania Prisons

    KLABU ya Tanzania Prisons imefikia makubaliano ya kumpa mkataba hadi mwisho wa msimu huu aliyekuwa kocha wa Geita Gold, Amani Josiah, ikiwa ni muda mfupi tangu timu hiyo ya Maafande iachane na...

    Aman Pict
  8. Mastraika TMA wampa jeuri Mwalwisi

    KATIKA kuhakikisha TMA inafanya vizuri katika Ligi ya Championship msimu huu, kocha mkuu wa kikosi hicho, Maka Mwalwisi ameweka wazi kuridhishwa na safu yake ya ushambuliaji hadi sasa, huku...

    TMA Pict
  9. Josiah afichua siri ya Maguli

    BAADA ya Geita Gold kuinasa saini ya mshambuliaji, Elias Maguli kutoka Biashara United, kocha wa timu hiyo, Amani Josiah amesema usajili wa nyota huyo ni wa kimkakati ili kuongezea makali safu...

    Maguri Pict
  10. Kapama, Gustavo watua Fountain Gate

    KLABU ya Fountain Gate iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa viungo Nassor Kapama kutoka Kagera Sugar na Daniel Joram ‘Gustavo’ kutokea Pamba, ili kuongezea nguvu katika timu hiyo...

Previous

Page 29 of 166

Next