Waarabu wanamtaka tena Bruno Fernandes AL Nassr ya Saudi Arabia imerudi tena mezani kutaka kumsajili mshambuliaji wa Manchester United, Bruno Fernandes katika dirisha hili ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya kuikataa ofa ya kwanza kutoka...
Isak kuwekewa ngumu Newcastle KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amesema straika Alexander Isak atapaswa kupambana kwelikweli kurudi kwenye mazoezi ya kikosi cha kwanza.
Mashabiki wa Brazil hatarini kukosa Kombe la Dunia 2026 MASHABIKI wa Brazil wanaotarajia kusafiri kwenda Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia la 2026 huenda wakakataliwa viza kutokana na sheria mpya zilizowekwa na nchi hiyo.
Rashford mambo bado La Liga MARCUS Rashford amefunga bao lake la kwanza Barcelona huku kikosi hicho kikipambana kwa nguvu zote kuhakikisha inamwandikisha Mwingereza huyo ili kuwa na kibali cha kucheza kwenye La Liga.
Rashford kusubiri kwanza Barcelona BARCELONA imefuta mechi ya kwanza ya kirafiki kwenye pre-season jambo litakalomchelewesha Marcus Rashford kuitumikia timu yake mpya mapema.
Duh! Eti Palmer atatua Old Trafford ALIYEKUWA kocha wa kikosi cha kwanza cha Manchester United, Rene Meulensteen amefichua kwamba kuna siku moja kiungo wa Chelsea, Cole Palmer atakwenda kujiunga na miamba hiyo ya Old Trafford kwa...
Mastaa Newcastle wana kitu cha Isak MASTAA wa Newcastle United, Bruno Guimaraes na Dan Burn wamefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Alexander Isak kutaka kuachana na miamba hiyo ya St James’ Park.
Wakala wa Isak afunguka hatma ya Staa huyo Newcastle WAKALA wa straika, Alexander Isak amefichua kwamba staa huyo wa Newcastle United yupo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha hatima mpya ya maisha yake baada ya uvumi mwingi kwenye dirisha hili la...
Wissa njiani Kaondoka Brentford STAA wa Brentford, Yoane Wissa ameondoka kwenye kambi ya mazoezi ya timu hiyo ya pre-season wakati huu akiwa hafahamu hatima ya maisha yake ya baadaye.
Tshabalala rasmi atua Yanga, vita iko hapa Tshabalala anajiunga na Yanga baada ya kuitumikia Simba kwa miaka 11 tangu alipojiunga nayo 2014 akitokea Kagera Sugar.