Taoussi aziwekea mtego Simba, Yanga UNAWEZA kuona kama ni mapema hivi, lakini sio kwa kocha wa Azam FC Rachid Taoussi ambaye rekodi za kikosi chake zinazimpa jeuri na kusema mpango wake mpya ni dhidi ya Simba na Yanga.
PRIME Fadlu ana kazi kubwa ya kufanya WAKATI Simba ikitarajiwa kucheza dhidi ya CS Constantine ugenini, kocha mkuu wa kikosi hicho, Fadlu Davids amesema mbali na kufanya mazoezi, atadili sana na suala zima la saikolojia ya wachezaji.
Luhende: Kashfa dawa za kulevya ziliniharibia, Mecky Mexime akaniokoa MAISHA yanaweza kubadilika wakati wowote bila hata kutarajia ni muda gani na yatakuaje. Mbaya zaidi ukiwa mtu maarufu kwani ukubwa wa jina lako unaweza kuwa sawa na tatizo lako.
Guinea,Sudan zaipaisha Tanzania FIFA USHINDI wa mechi mbili dhidi ya Sudan na Guinea umeipaisha Tanzania kwenye viwango vya ubora vinavyotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
PRIME Yanga kumechangamka, nondo zote kwa Ramovic KOCHA mpya wa Yanga, Sead Ramovic jana jioni alitarajiwa kuwa na kikosi chake kamili baada ya mastaa wa timu hiyo waliokuwa wanayawakilisha mataifa yao kurejea lakini huko mambo yameanza kuiva...
PRIME Msikie Fadlu kuhusu Manula, Camara BAADA ya makipa wa Simba, Aishi Manula na Moussa Camara kuuwasha moto katika mechi za kufuzu Afcon 2025, kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids amebainisha kuwa kuna kazi kubwa katika kuwania namba...
Job afichua mbinu walizotumia kumzuia Guirassy HAIKUWA kazi rahisi kwa safu ya ulinzi ya Taifa Stars iliyoongozwa na mabeki wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca kumzuia mshambuliaji tegemeo wa Guinea na Klabu ya Borussia Dortmund, Serhou...
Dakika 270 zaibua matumaini Kagera OFISA Mtendaji Mkuu wa Kagera Sugar, Thabit Kandoro amesema anaridhishwa na mwenendo wa timu hiyo katika matokeo ya mechi tatu zilizopita akimtaja kocha mpya, Melis Medo kuwa ndiye chanzo.
Mahusiano yalivyompa maisha Best King Wakati wengi wakikata tamaa kutokana na maumivu mbalimbali ikiwemo ya mapenzi, maisha na mengine, lakini kwa upande wa mtengeneza maudhui na mwigizaji Collins Frank ‘Best King’ yamempa maisha.
PRIME NABI: Mtafurahi! Ataja mambo matano kocha mpya Yanga SC, atuma salamu MASHABIKI wa Yanga wanasubiri kuiona timu yao ikianza maisha mapya bila ya Miguel Gamondi ambaye ndoa yake na klabu hiyo ilisitishwa juzi, Ijumaa.