Nabi: Kipigo kinakuja KANUNI za Ligi Kuu Tanzania Bara zimemuondoa kwenye benchi kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi kwenye mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga wa Aprili 30. Lakini amesisitiza kwamba kipigo na kasi...
Marufuku mpya ya Morrison Sauzi MASHABIKI wa Simba walikuwa na hamu kubwa ya kutaka kuona winga Bernard Morrison anaenda Sauzi kukinukisha kwenye mechi ya marudiano ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando...
Bao la Mayele Sh50 milioni NYOTA wa Yanga wamerudi kambini jana jioni, lakini walipofika tu wamekutana na Sh50 milioni iliyopatikana kupitia bao la kiufundi la straika Fiston Mayele. Kama uliuangalia vizuri mchezo wa...
HAIJAWAHI KUTOKEA Simba ni kama kuzoea kucheza mechi saa 10 jioni halafu ukaambiwa ucheze saa 8 mchana, ila namna gani ukomavu kwa wachezaji wakubwa kama wa Simba wanatkiwa kuonyesha muda wote wa mchezo,” alisema...
Onyango ndio hivyo wenzao kambini na jioni walifanya mazoezi ya pamoja na wenzao chini ya kocha Pablo.” Katika mechi hiyo, Simba imeruhusiwa na CAF kuingiza mashabiki 35,000 huku viongozi wakisisitiza mashabiki...
Fei Toto nje wiki mbili KIUNGO fundi wa mpira wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ hatakuwepo kwenye mchezo dhidi ya Azam FC utakaopigwa Aprili 6, kutokana na kupata majeraha akiwa kwenye kambi ya timu ya taifa ‘Taifa...
Kabwili afunguka kila kitu, bado yupo Yanga mzazi anayeishi Kibaha, namshukuru Mungu maisha ndio nimeamuanzishia huko na kiukweli anajivunia mtoto wake kucheza Yanga. “Nieleze tu licha ya magumu na changamoto ninazopitia, kupitia miguu na...
Ishu ya mkataba, Manula avunja ukimya, awatega mabosi Simba MABOSI wa Simba wanahaha kufanya mazungumzo na baadhi ya wachezaji ambao mikataba yao ipo ukingoni, huku Aisha Manula akiwa miongoni mwa wachezaji hao na kipa huyo amevunja ukimya kuzungumza dili...
Simba wafanyie kazi hapa... BAADA ya kupoteza ugenini dhidi Asec Mimosas huko Benin kwa mabao 3-0, wawakilishi wa Afrika Mashariki na Kati kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wanahitaji ushindi tu katika mechi ya...
Kanoute agoma kutoka Simba WACHEZAJI wa Simba waliokuwa hawana majukumu ya timu za taifa walipewa mapumziko ya siku tano na baadhi waliamua kutimkia makwao, lakini kiungo Sadio Kanoute aligoma kabisa kuondoka. Mwanaspoti...