Macho yote ni Twiga Stars leo Botswana KOCHA Mkuu wa Twiga Stars, Bakar Shime amesema wachezaji wa timu hiyo wako vizuri kuwakabili Botswana kwenye mchezo wa marudiano kufuzu michuano ya Olimpiki mwakani nchini Ufaransa. Mchezo wa...
Simba yamrejesha Juma Mgunda Hatimaye Simba imerejesha kocha mzoefu, Juma Mgunda kwenye kikosi hicho muda mchache baada ya Abdelhack Benchikha na wasaidizi wake kutimka. Tetesi zilianza kuzagaa wiki nzima kuwa Benchikha...
Gardner wa Clouds kuagwa kesho Dar, kuzikwa Jumanne Rombo Atazikwa kijijini kwao Kikelelwa, kata ya Tarakea, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro.
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Napoli yatimua kocha kabla ya kuivaa Barcelona Klabu ya Napoli imetangaza kuachana na kocha wake wa muda Walter Mazzarri na kumpa timu hiyo Francesco Calzona, ambaye ataisimamia hadi mwishoni mwa msimu huu
Kocha AS Monaco ataja sababu Paul Pogba kutocheza KOCHA wa AS Monaco, Adi Hutter ameweka wazi sababu ya kiungo wao Paul Pogba kutokuwapo uwanjani licha ya kuwa huru kutoka kwenye adhabu ya matumizi ya dawa zinazozuiwa michezoni iliyoisha miezi...
Staa Man United aamriwa kutumikia kifungo jela Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Anderson Luís de Abreu Oliveira maarufu kama Anderson ameamriwa kutumikia kifungo cha siku 30 jela iwapo hatatoa kiasi cha Pauni 142,000 kwa ajili ya...
Kocha afichua Benfica ilivyomkosa Joao Felix ALIYEKUWA kocha wa Benfica, Bruno Lage, amefichua sababu za klabu hiyo kushindwa kumsajili Joao Felix kutoka Chelsea wakati wa msimu wa joto, na hatimaye akatimkia Al-Nassr ya Saudi Arabia.
PSG, Barca ni mechi ya kisasi LIGI ya Mabingwa inaendelea tena kesho lakini macho na masikio yote yatakuwa pale Lluis Companys Olympic Stadium na wenyeji Barcelona watakuwa wanaikaribisha Paris Saint-Germain katika mechi ya...
Pigo Liverpool, Alisson kuikosa Chelsea Jumamosi KIPIGO cha bao 1-0 ilichopata Liverpool kutoka kwa Galatasaray kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, kimeongeza maumivu mara mbili baada ya kipa namba moja wa kikosi hicho, Alisson Becker kuripotiwa...