Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

759 results for Nevumba Abubakar :

  1. Mbongo ala shavu Misri

    MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mlandege FC ya Zanzibar, Oscar Evalisto amejiunga na Makadi FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili, Misri.

    Mbogo Pict
  2. Gadiel arejesha majeshi Singida

    BAADA ya kuvunja mkataba na Chippa United ya Afrika Kusini, Mtanzania Gadiel Michael ametimkia Singida Black Stars.

    Gadiel Pict
  3. Mgaya atamani makubwa Coastal

    STRAIKA mpya wa Coastal Union, Ally Mgaya amesema anatamani kufanya makubwa akiwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Juma Mwambusi.

    Mgaya Pict
  4. TUZO ZA GRAMMY: Hapa kina Mondi, Alikiba, Nandy kuna vigezo, wataweza?

    PENGINE baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza kwa nini muziki wa Nigeria unazidi kukua siku hadi siku na wasanii wao wakichaguliwa kuwainia tuzo mbalimbali kubwa za muziki zikiweko za Grammy.

    Grammy Pict
  5. Elizabeth John: Anavyojigawa kwenye masomo na kucheza mpira

    KWENYE ulimwengu wa michezo, soka umekuwa moja ya burudani kubwa inayovuta hisia za mamilioni ya watu kote duniani.

    Eliza Pict
  6. Arajiga, wengine watatu wapewa Berkane

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limemteua mwamuzi Ahmed Arajiga na wenzake watatu kuchezesha mechi ya Kundi B Kombe la Shirikisho Afrika kati ya RS Berkane ya Morocco na Stellenbosch ya Afrika...

    Arajiga Pict
  7. PRIME Ramovic kuchukua uamuzi mzito Yanga

    YANGA haitaki chochote Jumamosi hii zaidi ya ushindi mbele ya MC Alger. Hali hiyo imemfanya Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Sead Ramovic, kuchukua uamuzi mzito ili kuhakikisha wanatoboa.

    Ramovic Pict
  8. Abdi Banda aibukia Dodoma Jiji

    BEKI kisiki wa zamani wa Coastal Union, Simba na Mtibwa Sugar, Abdi Banda amejiunga na Dodoma Jiji kama mchezaji huru baada ya kuvunja mkataba na Baroka FC ya Afrika Kusini.

    Banda Pict
  9. PRIME Muvi nzima ya Aisha Mnunka Simba

    HATIMAYE ile muvi ya mshambuliaji wa Simba Queens imemalizika baada ya mchezaji huyo kukubali yaishe na kurudi unyamani.

    Muvi Pict
  10. PRIME Hesabu za Ubaya Ubwela robo fainali CAFCC

    IMEKUWA ni kama jambo la kawaida kwa mashabiki wa Simba kuiona timu yao ikifuzu robo fainali kwenye michuano inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya juzi kufanya hivyo kwa mara...

Previous

Page 26 of 76

Next