Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9718 results for Mwandishi :

  1. Mangungu: Tufanye kampeni za hoja

    Mgombea nafasi ya Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amewataka wagombea kufanya kampeni na kujenga hoja pasipo kuanzisha vurugu. Mangungu ambaye anatetea kiti chake katika uchaguzi...

  2. Yanga yamkosa Mosimane

    Kocha Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ikiwa imepita siku mbili baada ya kuachia barua ya kuthibitisha kuondoka klabu ya Al Ahli ya Saudi tayari amepata timu mpya. Mosimane ambaye...

  3. Yanga yazitaka rekodi Ligi ya Mabingwa

    Kesho katika uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakao wakutanisha mabingwa wa ligi ya Djibouti ASAS na mabingwa wa ligi ya Tanzania Yanga.

  4. KMC yapata mdhamini mpya

    KLABU ya KMC iliyoshiriki Ligi Kuu Bara, imekula shavu kwa kupata mdhamini mpya walioingia nao mkataba wa miaka miwili ya kusambaziwa vifaa vya timu yao. KMC iliyomaliza nafasi ya tano katika...

  5. Kipanga kuifuata Africain Tunisia kesho

    WAWAKILISHI kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutoka visiwani Zanzibar, Kipanga FC kitawafuata wapinzani wao Club Africain ya Tunisia kesho Alhamisi huku Kocha Mkuu, Hassan...

  6. Joti, Gigy Money waula ubalozi WinPrincess

    Wasanii Gift Stanford 'Gigy Money' na Lucas Mhuvile 'Joti' wamepewa ubalozi wa mchezo wa kubashiri wa WinPrincess. Wawili hao walitangazwa kuwa mabalozi na Meneja wa WinPrincess, Hakan...

  7. Manyama aikacha Namungo

    DIRISHA dogo la usajili limefungwa rasmi huku beki Edward Charles akiachana na Namungo FC inayoshiriki michuano ya kimataifa ambapo amejiunga na Ruvu Shooting ya Pwani. Manyama ameichezea...

  8. Mwaterema: Acheni utani, ligi msimu huu ngumu

    MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Hassan Mwaterema amesema ushindani katika Ligi Kuu Bara msimu umekuwa ni mkubwa tofauti na misimu ya nyuma. Akizungunmza na Mwanaspoti, Mwaterema alisema siri kubwa...

  9. Lamine, Sarpong kumbe balaa

    LICHA ya Deus Kaseke kuwa kinara wa mabao wa Yanga akifunga sita, lakini nahodha wake, Lamine Moro na Michael Sarpong wamefunika kati ya nyota wa kigeni wanaokipiga Jangwani kwa kutupia nyavuni...

  10. Azam yatinga fainali ASFC baada ya miaka minne

    AZAM FC leo ilitangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), baada ya kuichapa Simba mabao 2-1 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara.

Previous

Page 247 of 972

Next