Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

7984 results for Mwandishi Wetu :

  1. Arsenal yailaza Bayern ikiendeleza rekodi ya ushindi 100%

    NONI Madueke amefunga bao lake la kwanza akiwa na Arsenal tangu atue msimu huu akitokea Chelsea, huku Washika Bunduki hao wa London wakiendeleza rekodi yao ya ushindi asilimia 100 kwenye Ligi ya...

  2. David Luiz, Viktor Dadason waweka rekodi Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Mabingwa wa Cyprus, Pafos FC, wametoka nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya AS Monaco katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku beki mkongwe David Luiz akiandika historia kwa kuwa mfungaji wa pili...

  3. Dabi ya Mashemeji yaahirishwa kutokana na ukosefu wa uwanja

    Mechi ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Kenya kati ya mahasimu wakuu, Gor Mahia na AFC Leopards, iliyotarajiwa kuchezwa Jumamosi Novemba 29, 2025, imeahirishwa kutokana na kukosekana kwa uwanja.

  4. Manula avunja ukimya Azam FC

    BAADA ya kukosekana uwanjani kwa muda mrefu, kipa wa Azam FC, Aishi Manula amesema anapambana kwa nguvu kumshawishi kocha Florent Ibenge ampe nafasi kwani yupo tayari kuitumikia timu hiyo.

  5. Riadha Wanawake kurindima siku tatu Dar

    MSIMU wa saba wa mashindano ya Riadha ya Wanawake utafanyika kuanzia Novemba 28, 2025 hadi 30, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

  6. TFF yaufungia Mkwakwani, Coastal, African Sports kusaka chimbo jipya

    SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeufungia Uwanja wa Mkwakwani uliopo Tanga kutumika kwa michezo ya Ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.

  7. Maabad aibuka shujaa Coastal ikitamba nyumbani

    MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Maabad Maulid Maabad, ameibuka shujaa wa kikosi hicho kufuatia kufunga mabao mawili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City.

  8. Basi la Barca lashambuliwa London

    BASI rasmi lililokuwa limebeba timu ya Barcelona lilishambuliwa usiku wa juzi jijini London wakati likienda kwenye Uwanja wa Stamford Bridge kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Chelsea.

  9. FIFA yaja na mpango huu Kombe la Dunia

    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limepanga kutumia mfumo mpya wa upangaji hatua ya makundi na droo kwa ujumla katika michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza mwakani huko Marekani...

  10. Harambee Starlets kujipima ubavu na Algeria

    KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Soka Wanawake Kenya, Harambee Starlets, leo Novemba 25, 2025 kitashuka dimbani kumenyana na Algeria katika mechi ya kirafiki kama sehemu ya maandalizi ya Fainali za...

Previous

Page 244 of 799

Next