Carrick ana siri gani kuchapa makocha wakubwa WAKATI yupo shule anasoma, hadi kipindi anakwenda kujiunga na West Ham United, Michael Carrick alikuwa akicheza nafasi ya mshambuliaji wa kati.
'Panenka' ya Panenka ilivyomgeuza Diaz kituko AFCON 2025 NI fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 huko Morocco kwenye dimba la Mwanamfalme Moulay Abdellah jijini Rabbat, kati ya wenyeji, Morocco dhidi ya Senegal.
Depu aanza kazi, Yanga ikiichapa Mashujaa Depu aliyeingia katika kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Maxi Nzengeli, alianza kwa kupiga pasi iliyozaa bao la Mudathir Yahya katika dakika ya 81.
Real Madrid yampigia hesabu Enzo Fernandez CHELSEA imeiambia Real Madrid ipo tayari kumuuza kiungo wao wa kimataifa wa Argentina, Enzo Fernandez mwenye umri wa miaka 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Mukwala asepa, aibukia Uarabuni KAMA Mwanaspoti lilivyowajulisha mapema baada ya Jean Charles Ahoua kuuzwa CR Belouizdad ya Algeria, pia Steven Mukwala naye alikuwa mbioni kuondoka klabuni hapo, ndivyo ilivyo kwa sasa baada ya...
SADIO MANE... Alivyogeuka shujaa wa Senegal AFCON 2025 SADIO Mane amekuwa shujaa wa Senegal kwa mara nyingine tena, lakini si kwa sababu ambazo wengi wangezitarajia.
Kocha Spurs lolote linaweza kutokea TOTTENHAM inaangalia kocha mbadala atakayekuja kurithi mikoba ya Thomas Frank ambaye yupo kwenye hatari kubwa ya kufutwa kazi.
Gemu ya Senegal, Morocco ilivyobamba kwa dakika 120 SENEGAL na Morocco ziliwakilisha Bara la Afrika na dunia nzima kushuhudia drama halisi ya soka katika fainali ya AFCON 2025, kuanzia penalti yenye utata, maandamano hadi bao la Pape Gueye...
Kuna timu Ujerumani inamtaka Xabi Alonso XABI Alonso inaripotiwa kufikiwa kwa ajili ya kurejea kwenye kazi ya ukocha, ikiwa ni wiki moja baada ya kufukuzwa na Real Madrid.