Salah atangaza kuondoka Liverpool, atajwa kutua Al Ittihad Mshambualiaji Mohamed Salah (33), leo Jumanne ametangaza rasmi kuwa ataachana na Liverpool baada ya msimu huu kumalizika.
Nyota Scotland ataka Wirtz apigwe bei NYOTA wa zamani wa Scotland, Craig Burley, ameishauri Liverpool kufikiria kumuuza kiungo mshambuliaji Florian Wirtz kutokana mwanzo mgumu wa maisha yake katika Uwanja wa Anfield.
Barcelona kuuza, kununua straika BARCELONA inapanga kufanya mabadiliko makubwa katika safu yake ya ushambuliaji katika dirisha lijalo la usajili la majira ya kiangazi, mpango unaohusisha kusikiliza ofa kwa ajili ya kumuuza...
Picha ya mkongwe kikapu yawekwa katika mpira NYOTA wa kikapu wa aliyetamba na Pazi msimu uliopita wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam, Josephat Peter 'Tekenya' amekuwa mchezaji wa kwanza wa mchezo huo picha yake kutumika kama logo kwenye mpira.
Eric Chelle aitega NFF, awasilisha masharti 19 Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles, Eric Chelle, amewatia wasiwasi wapenzi wa soka wa nchi hiyo baada ya kuweka masharti 19 muhimu kabla ya kusaini mkataba mpya na...
Hervé Renard ajutia uamuzi wa kuiacha Morocco Kocha raia wa Ufaransa, Hervé Renard, amekiri kuwa kujiuzulu kwake kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Morocco mwaka 2019 ilikuwa ni uamuzi wa makosa kwani alipaswa kuendelea hadi mwisho wa...
Miaka 10 ya mafanikio JMK Wakati Kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete kikiadhimisha miaka 10 tangu kianzishwe, baadhi ya makocha wamesema zaidi ya wachezaji bora 35 wametokea hapo.
Aucho asimamishwa Singida BS, Obasogie atuhumiwa kupanga matokeo Obasogie anasimamishwa ikiwa ni takribani miezi 10 tangu kipa mwingine kutoka Nigeria, John Noble kuvunjiwa mkataba na Fountain Gate kwa makosa ya kucheza chini ya kiwango na kufanya makosa ya...
Barua ya wazazi yamduwaza Saka WINGA mwenye mshahara mkubwa kuzidi wote Arsenal, Bukayo Saka ameachwa mdomo wazi baada ya kupokea barua ya hisia kali kutoka kwa wazazi wake kutokana na kusaini mkataba wake mpya kwenye kikosi...