Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

687 results for Victoria Melkiad :

  1. Huyo Pacome gari limewaka

    KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua gari limewaka, amerudi kwenye ubora wake akifunga na kufanya balaa, huku akifunguka kuwa kwa namna walivyo fiti habari ya mtu kupigwa nyingi ni kikombe ambacho...

    New Content Item (1)
  2. Chukwu: Ubora umenirudisha Singida

    KIUNGO wa zamani wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu anayeichezea Singida Black Stars, amesema kuwa kurejea katika kikosi hicho kunadhihirisha ubora alionao.

    Chuku Pict
  3. Straika Mashujaa kuibukia AS Vita

    MASHUJAA FC iko kwenye hatua za mwisho kufanya biashara na AS Vita ya DR Congo ambayo inamtaka mshambuliaji Ismail Mgunda.

  4. PRIME Safari ya Tunisia, Ngoma atoa ujanja mapema

    WAKATI kikosi cha Simba kikielekea Tunisia alfajiri ya leo kuifuata CS Sfaxien, kiungo wa timu hiyo ambaye pia ni nahodha msaidizi, Fabrice Ngoma ametuma ujumbe, huku akitoa ujanja wanaopaswa...

    Ngoma Pict
  5. PRIME Yanga yaitega TP Mazembe Dar

    YANGA inafahamu kuwa ina dakika 270 sawa na mechi tatu ili kuamua hatma ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.

    Mtego Pict
  6. Kocha Singida apewa malengo mazito

    UNAWEZA kuona kama mapema hivi lakini sio kwa Singida Black Stars baada ya kumshusha kocha Hamid Miloud na kumwambia anatakiwa kuhakikisha timu inashiriki michuano ya kimataifa msimu ujao.

    Singida Pict
  7. PRIME Feisal aikataa Simba

    KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi hawezi kujiunga na timu...

    Fei Pict
  8. PRIME Fei Toto aanika silaha hadharani, Aucho atoa neno

    KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho amefunguka akikiri kuwa mziki wa Azam ndio unaowanyima raha kwa namna wanavyokutana na upinzani mkubwa, huku nyota wa zamani wa Jangwani anayekipiga Azam FC, Feisal...

  9. Matampi ampa tuzo Camara

    WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa ndio kwanza imeanza duru la pili na ikienda kusimama hadi Januari 20 mwakani, aliyekuwa kipa wa Coastal Union, Ley Matampi ameitoa tuzo ya Kipa Bora msimu huu kwa...

  10. PRIME Ngoma sasa uhakika Simba

    KAMA we’ ni shabiki wa Simba na ulikuwa na mawazo huenda kiungo Fabrice Ngoma anaweza kuondoka hivi karibuni, basi sahau kwani nyota huyo kutoka DR Congo bado yupo sana na kocha mkuu wa timu...

    Ngoma Pict
Previous

Page 23 of 69

Next