Geita yatangulia dakika 45 Kipindi cha kwanza kimemalizika katika Uwanja wa Nyankumbu Girls kwa wenyeji Geita Gold kuwa mbele kwa bao 1-0, dhidi ya Dodoma Jiji. Kwenye mechi hiyo bao la Geita Gold, lilifungwa dakika ya...
Dilunga afunguka sababu kujichimbia Sauzi KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amewatuliza mashabiki wa klabu hiyo kuwa anaendelea vizuri na afya yake ipo freshi tangu alipofanyiwa upasuaji Afrika Kusini. Dilunga aliliambia Mwanaspoti akiwa...
Kocha Kaizer aomba Simba MCHAKATO wa kusaka kocha mpya wa Simba umefikia patamu baada ya mabosi wa klabu hiyo kuchuja orodha ya majina zaidi ya 100 hadi kufikia10 na sasa wanaisaka tatu bora, huku miongoni mwa walioomba...
Chama atoa msimamo Simba HUKO Msimbazi baadhi ya mashabiki wa Simba waliingia ubaridi baada ya kusikia tetesi, Clatous Chama ndo basi tena hasa baada ya kuondolewa kikosini na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pablo Franco...
Simba yanasa fundi mwingine SIKU chache baada ya kuanza dili na wachezaji wa kigeni 13 kwa nia ya kupata wakali watano, mabosi wa Simba wapo hatua ya mwisho kuinasa saini ya kiraka mzawa anayekipiga Kagera Sugar anayemudu...
Chama afunguka, kutua Dar kesho KIUNGO fundi wa Simba, Clatous Chama anatarajiwa kurejea nchini kesho Juni 10 mchana ili kuungana na wachezaji wenzake kwa maandalizi ya mechi za mwisho za Ligi Kuu Bara. Chama aliondoka nchini...
Simba yaleta kiungo fundi SIMBA haijapoa. Mabosi wao wanazidi kukuna kichwa ili kutengeneza timu itakayofukia mashimo yote yaliyojitokeza msimu huu na kushindwa kutimiza malengo yao na moja ni kusaka wachezaji wa kiwango...
Barbara: Nijiuzulu? kwa lipi! YALE makombora na kelele nyingi dhidi yake ikiwamo kuelezwa eti amejiuzulu, zimemfikia Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez na kuamua kuvunja ukimya Barbara amekuwa akitetwa na baadhi...
Pablo tatizo lilianzia hapa! MABOSI wa Simba wapo sokoni kutafuta kocha mpya atakayechukua mikoba ya Pablo Franco aliyesitishiwa kibarua chake baada ya kushindwa kufanya vizuri na timu hiyo kwenye mashindano matatu makubwa.
Yanga yasaka rekodi mpya KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amefichua kikosi chake kwa msimu huu kimefanikiwa kutokana na maeneo mengi kuwa bora na maamuzi ya benchi la ufundi yakipewa nafasi zaidi, lakini anakuna kichwa...