Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9692 results for Mwandishi :

  1. PSG kuiharibia Barcelona kwa Rashford

    LICHA ya kuonyesha nia ya kuendelea kusalia Barcelona na kusaini mkataba wa kudumu, ripoti zinadai Paris Saint-Germain imeingia kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili mshambuliaji Marcus Rashford...

    RASHFORD Pict
  2. Kocha Man United kuondoa watatu Januari 2026

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim yupo tayari kuruhusu wachezaji watatu kuondoka dirisha lijalo la usajili la Januari.

    AMORIM Pict
  3. Rooney: Alexander Isak ajilaumu mwenyewe

    GWIJI, Wayne Rooney amesema hana huruma kwa straika Alexander Isak, akidai mchezaji huyo ndiye wa kujilaumu mwenyewe baada ya kushuhudia uhamisho wake wa kuvunja rekodi ya Uingereza kwenda...

    ROONEY Pict
  4. Carrick anajua hawezi kupata zali la Solskjaer

    MICHAEL Carrick anasisitiza kuwa Manchester United haitafanya mabadiliko ya ghafla au ya pupa kuhusu nafasi yake kama kocha mkuu, kama ilivyofanya hapo awali kwa Ole Gunnar Solskjaer.

  5. Sneijder achambua kinachomtesa Wirtz

    STAA wa zamani wa Real Madrid na Galatasaray, Wesley Sneijder amefunguka kumzungumzia kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz, ambaye amesema amekuwa kwenye wakati mgumu kuzoea mazingira ya Ligi...

    WITRZ Pict
  6. Jeremy Doku awapagawisha makocha

    KIWANGO bora cha Jeremy Doku wa Manchester City kwenye mechi ya Liverpool kimewakosha makocha wa timu zote mbili na kummwagia sifa kwa kile alichofanya uwanjani.

    DOKU Pict
  7. Kisa Afcon Salah kumaliza utata Misri

    SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah anajiandaa kuzungumza na kocha wa Misri, Hossam Hassan wiki ijayo ili kujaribu kuzuia mgogoro mwingine unaoweza kutokea baina ya klabu yake na timu ya taifa...

  8. Sterling awatishia kisu wezi kwake

    STAA, Raheem Sterling alikabiliana na wezi waliovamia nyumbani kwake kwa kuwashikia kisu katika tukio la kutisha lililotokea hivi karibuni akiwa na familia yake.

    New Content Item (1)
  9. Mbeumo hajapenda Cameroon kuchapwa na DR Congo

    STAA wa Manchester United, Bryan Mbeumo ameonekana kuwa mwenye huzuni kubwa baada ya timu yake ya taifa ya Cameroon kupoteza fursa ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026.

  10. Liverpool yaonywa kuhusu Robertson

    LIVERPOOL imeonyesha kwamba itakuwa imepata hasara kubwa endapo kama itamruhusu beki wa kushoto Andrew Robertson aondoke katika klabu hiyo.

Previous

Page 220 of 970

Next