Mdamu afanyiwa upasuaji HATIMAYE aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu, amefanyiwa upasuaji wa mguu wa kulia ambao ulikumbwa na changamoto ya jipu la kwenye mfupa.
TFF, waamuzi wamlilia Abdulkadir SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Chama cha Waamuzi wa Soka Tanzania (FRAT) wameonyesha masikitiko yao kutokana na kifo cha aliyekuwa mwamuzi mstaafu na mwenyekiti wa Frat, Omary...
Yanga yasaka rekodi mpya Ethiopia Kama hujui ni kwamba mabingwa wa Tanzania, Yanga wanakutana na mabingwa wenzao na wenyeji wa mchezo huo CBE SA katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
Tabora United, Tanzania Prisons kazi ipo BAADA ya ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu Bara, Tabiora United leo inarudi tena uwanjani kuikabili Tanzania Prisons inayosaka ushindi wa kwanza katika ligi hiyo, mechi itakayopigwa...
Wapiga mbizi 238 kusaka bingwa wa taifa WAOGELEAJI zaidi ya 238 wanatarajia kushiriki mashindano ya wazi ya klabu bingwa ya Taifa yaliyopangwa kufanyika siku mbili kuanzia kesho na keshokutwa kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya...
Chanzo kifo cha Omary Abdulkadir hiki hapa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemuelezea Abdulkadir kama miongoni mwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa soka la Tanzania.
AKILI ZA KIJIWENI: Serengeti Girls msiwaze ipo siku yenu KATIKA mashindano ya soka ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ya Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Kaskazini mwa Afrika (Unaf), timu ya taifa ya Tanzania ya umri huo imegawa sana dozi.
PRIME Jeuri ya Simba CAFCC ipo hapa WACHEZAJI wa Simba wanafahamu hesabu zilizopo kwao hivi sasa ni kuanza vizuri ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya kisha kumaliza kazi nyumbani na kutinga makundi.
PRIME Shuti la Fei Toto Lamtingisha kipa Simba KIPA wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ alikuwa katika benchi wakati taifa lake la Guinea likiachia pointi tatu mbele ya Taifa Stars, lakini akaondoka na lile shuti la kiungo wa timu hiyo, Feisal...
Goran aichimba mkwara Azam KOCHA wa Pamba Jiji, Goran Kopunovic hajaonja ushindi hata mmoja katika Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini ametamba kwa namna alivyokiandaa kikosi hicho, anaamini kabisa ataanza kuvuna pointi tatu...