Fadlu: Kijili anachangamoto inayohitaji muda kuisha IKIWA imesalia saa chache kabla ya Simba kushuka kwenye Uwanja wa Juni 11, jijini Tripoli Libya kuvaana Al Ahli Tripoli, kocha wa kikosi hicho cha Msimbazi, Fadlu Davids amemtaja Kelvin Kijili...
Simba sasa ndo mtaijua SIMBA inacheza mechi ya kwanza katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo na hakika sasa ndio mtawajua Wekundu wa Msimbazi.
Tabora Utd, yabanwa nyumbani WENYEJI Tabira United imeshindwa kuendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni hii kulazimishwa suluhu na Tanzania Prisons ambayo haijaonja kabisa ushindi msimu huu.
Bao lampa mzuka Ngushi Mashujaa NYOTA wa zamani wa Yanga na Coastal Union, anayekipiga kwa sasa Mashujaa, Crispin Ngushi juzi alifunga bao pekee lililoizamisha Coastal Union nyumbani na kuipa timu hiyo ushindi wa pili kitu...
Hadithi ya ndoto za Diamond inavyojirudia Chachambu wakachukua miguu ya kuku miksa pilipili ya mbilimbi. Wakarudi bondeni, ghetoni wakatoa kitu na kuanza kula. Walivyomaliza kula Naseeb akasema, “wanangu mnajua nini? Siku moja nitakuwa...
UMESIKIA... Zari, Hamisa, Tanasha wote ni pacha kwa Mondi UKIACHANA na muziki, hakuna ubishi kuwa umaarufu wa Diamond Platnumz kwa sehemu nyingine umechangiwa kwa kuwa na uhusiano na wanawake wenye majina makubwa katika tasnia ya muziki, filamu na mitindo.
Mmorocco wa Azam na kipimo cha Pamba KOCHA Mkuu mpya wa Azam FC, Rachid Taoussi kwa mara ya kwanza leo Jumamosi anatarajiwa kutupa karata katika mechi ya Ligi Kuu Bara wakati atakapokiongoza kikosi hicho dhidi ya Pamba Jiji, huku...
PRIME Safari ya Kombe la Shirikisho Afrika... Mnyama yupo tayari KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua jijini Tripoli, Libya tayari kwa mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku mastaa wote waliokuwa timu za taifa wakiwa...
Mdamu afanyiwa upasuaji HATIMAYE aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu, amefanyiwa upasuaji wa mguu wa kulia ambao ulikumbwa na changamoto ya jipu la kwenye mfupa.
TFF, waamuzi wamlilia Abdulkadir SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Chama cha Waamuzi wa Soka Tanzania (FRAT) wameonyesha masikitiko yao kutokana na kifo cha aliyekuwa mwamuzi mstaafu na mwenyekiti wa Frat, Omary...