Majeruhi Arsenal wamvuruga Arteta ARSENAL imefanya usajili wa mastaa kibao kwenye dirisha lililopita la majira ya kiangazi kwa kuhakikisha kwamba inakuwa na kikosi kipana kitakachopambana na masuala ya majeruhi.
AFCON 2025: Emam Ashour, Mostafa Fathi warudishwa The Pharaohs Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Misri, Hossam Hassan, ametangaza kikosi chake kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco.
Serengeti Boys yatwaa ubingwa CECAFA U17, yafuzu AFCON Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, imetwaa ubingwa wa CECAFA U17 baada ya kuichapa Uganda mabao 3-2 kwenye mechi ya fainali iliyochezwa leo Desemba 2...
Rio: Gerrard jiandae kuichukua Liverpool RIO Ferdinand amemwambia staa mwenzake wa zamani wa England, Steven Gerrard kwamba ajiandae kwa ajili ya kupokea simu kutoka kwa mabosi wa Liverpool kwenda kuokoa jahazi kutokana na presha...
Gary Neville: Chelsea shida ni kuzuia MCHEZAJI wa zamani wa England, Gary Neville amekosoa vikali namna Chelsea inavyokaba hali inayosababisha iruhusu sana mabao.
Mapacha wa Ecuador watua Arsenal, ishu ya kucheza ipo hivi Arsenal imetangaza kuwasajili wachezaji mapacha wenye vipaji kutoka Ecuador, lakini mashabiki wa The Gunners duniani kote watapaswa kusubiri miaka miwili ili kuona wakiingia kwenye kikosi cha...
Jesus ni mwendo wa kusoma Biblia tu STAA wa Arsenal, Gabriel Jesus amefichua amekuwa kwenye mashaka makubwa kwa miezi 11 iliyopita.
Kocha Chelsea afichua jambo zito KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema siku mbili zilizopita zilikuwa ‘mbaya zaidi’ katika kipindi chake cha ukocha wa klabu hiyo, akidai kuwa alikosa sapoti kutoka kwa baadhi ya watu wa timu hiyo.
Ouma aiona robo fainali Shirikisho BAADA ya kuambulia pointi tatu nyumbani dhidi ya AS Otoho, Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema anaiona nafasi ya timu hiyo kuendelea kuandika historia kwa kutinga hatua ya robo...
Pamba Jiji yang'oa kitasa Mbeya City UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Mbeya City, Gabriel Mwaipola ambaye anaenda kuziba pengo la Abdallah Kheri 'Sebo' aliyetimkia Singida Black Stars.