PRIME Camara amvuta kiungo CS Sfaxien Simba, ishu nzima iko hivi MECHI mbili ambazo Simba imecheza dhidi ya vibonde wa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien, zimempa faida mara mbili kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids.
PRIME Nabi atuma ujumbe mzito Yanga, amtaja Ramovic MASHABIKI wa Yanga wameanza kuchekelea wakisahau siku ngumu walizopitia kabla na baada ya kuondoka kwa kocha wao Miguel Gamondi kisha nafasi yake kuchukuliwa na Sead Ramovic ambaye naye alikuwa...
Gusa achia ilivyoibeba Yanga kwa TP Mazembe WALE waliokuwa wakiiponda Yanga ya Sead Ramovic kwamba haina kitu, kwa sasa huenda wanatafuta mahali pa kuficha sura zao, kwa namna Gusa Achia Twende Kwao ilivyoanza kulipa kwa kikosi hicho...
PRIME Kocha Yanga afichua siri ya Mpanzu KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita ya DR Congo aliyewahi kumfundisha, winga mpya wa Simba, Elie Mpanzu amefichua kama Wekundu wa Msimbazi wanataka kumfaidi vilivyo nyota huyo basi kocha Fadlu...
PRIME Yao atangaza vita mapema WAKATI mashabiki wakianza kujiuliza mtaani na mtandaoni itakuwaje mara beki wa kulia ya Yanga, Yao Kouassi atakaporejea kutoka kwenye majeruhi kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na Kibwana...
PRIME Ahoua achorewa ramani mpya KAMA wewe ni mpenzi na shabiki wa Simba, basi tegemea kuona maajabu zaidi kutoka kwa kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua hasa kwa mechi za kimataifa, baada ya kocha Fadlu Davids kueleza...
PRIME Camara: Huko Tunisia lazima kieleweke, Fadlu atoa msimamo KIKOSI cha Simba kimeshatua Tusinia kwa ajili ya mchezo wa nne wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi CS Sfaxien, huku kipa Moussa Camara ‘Spider’ akiwatoa hofu mashabiki wa Msimbazi akiwaambia...
Diarra akoleza moto, Ramovic achekelea KIPA Diarra Djigui aliyekuwa nje ya uwanja kwa wiki kama mbili amerejea akianza kujifua, jambo lililompa furaha kocha wa Yanga, Sead Ramovic huku akijiandaa kukabiliana na TP Mazembe ya DR Congo...
PRIME KIBWANA: Yao anajua, ila namba naitaka IMEKUWA kawaida kwa mastaa kuvuma na kupotea hasa kwa upande wa soka, unaweza kuona mchezaji anafanya vizuri msimu huu alafu ujao anapotea au kwa kocha huyu anawika na anapokuja mwingine anapotea.
Dube: Upepo umegeuka, mjipange vizuri MAISHA yanabadilika haraka sana pale Yanga, kwani wiki chache zilizopita ilikuwa ukiwatajia mashabiki wa timu hiyo jina la mshambuliaji Prince Dube ni kama unawaumiza mioyoni. Wengi walishindwa...