9 Bara bado hakijaeleweka WAKATI Ligi Kuu ikichezwa mechi tatu kwa baadhi ya timu, hali imeonekana kuwa tete kwa miamba tisa kutoonja ladha ya ushindi wala bao na nyingine zikiambulia vichapo.
Tanzania yakaza msuli Kombe la Dunia T20 MIKUMI imeishinda tena Ngorongoro kwa mikimbio 11 katika mechi ya mwisho ya majaribio kwa nyota wa timu ya taifa wanaonolewa kwa ajili ya michuano ya kufuzu kombe la dunia inayoanza jijini wiki hii.
Tanzania, China waliamsha Tenisi ya Meza NYOTA watano wa timu ya taifa ya mpira wa Meza (Table Tennis) ni miongoni mwa waliochuana katika msimu mpya wa mashindano ya mchezo huo ya Kombe la Urafiki kati ya China na Tanzania.
Fadlu: Kijili anachangamoto inayohitaji muda kuisha IKIWA imesalia saa chache kabla ya Simba kushuka kwenye Uwanja wa Juni 11, jijini Tripoli Libya kuvaana Al Ahli Tripoli, kocha wa kikosi hicho cha Msimbazi, Fadlu Davids amemtaja Kelvin Kijili...
Simba sasa ndo mtaijua SIMBA inacheza mechi ya kwanza katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo na hakika sasa ndio mtawajua Wekundu wa Msimbazi.
Tabora Utd, yabanwa nyumbani WENYEJI Tabira United imeshindwa kuendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu Bara baada ya jioni hii kulazimishwa suluhu na Tanzania Prisons ambayo haijaonja kabisa ushindi msimu huu.
Bao lampa mzuka Ngushi Mashujaa NYOTA wa zamani wa Yanga na Coastal Union, anayekipiga kwa sasa Mashujaa, Crispin Ngushi juzi alifunga bao pekee lililoizamisha Coastal Union nyumbani na kuipa timu hiyo ushindi wa pili kitu...
Hadithi ya ndoto za Diamond inavyojirudia Chachambu wakachukua miguu ya kuku miksa pilipili ya mbilimbi. Wakarudi bondeni, ghetoni wakatoa kitu na kuanza kula. Walivyomaliza kula Naseeb akasema, “wanangu mnajua nini? Siku moja nitakuwa...
UMESIKIA... Zari, Hamisa, Tanasha wote ni pacha kwa Mondi UKIACHANA na muziki, hakuna ubishi kuwa umaarufu wa Diamond Platnumz kwa sehemu nyingine umechangiwa kwa kuwa na uhusiano na wanawake wenye majina makubwa katika tasnia ya muziki, filamu na mitindo.
Mmorocco wa Azam na kipimo cha Pamba KOCHA Mkuu mpya wa Azam FC, Rachid Taoussi kwa mara ya kwanza leo Jumamosi anatarajiwa kutupa karata katika mechi ya Ligi Kuu Bara wakati atakapokiongoza kikosi hicho dhidi ya Pamba Jiji, huku...