PRIME Miloud Hamdi: Sasa Simba waje tu YANGA kazi imerudi, kwani kama unakumbuka kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi alitamka hana ratiba na mchezo wa dabi dhidi ya Simba, lakini sasa amefungua faili la mechi hiyo, akisema ameshajulishwa...
PRIME Simba kuja na sapraizi juni 25 HAKUNA ubishi huko mtaani na mtandaoni mashabiki na wapenzi wa Simba bado hawana furaha kutokana na kitendo cha Dabi ya Kariakoo kuahirishwa kutoka jana Jumapili hadi Juni 25, lakini kuna kitu...
Arsenal yakomaa kwa Viktor Gyokeres, Atletico yajitosa ARSENAL inajiandaa kurejea na ofa nyingine kwa mshambuliaji wa Sporting Lisbon na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres, mwenye umri wa miaka 27, dirisha lijalo.
Liverpool yamgeukia Anthony Gordon LIVERPOOL inaangalia uwezekano wa kufanya dili la Pauni 100 milioni la kumsajili nyota wa Newcastle, Anthony Gordon.
Mgogoro Israel, Iran waua ndugu wa mshambuliaji Inter Milan STAA wa Inter Milan na timu ya taifa ya Iran, Mehdi Taremi ameshindwa kuungana na timu yake kwa kukosa usafiri wa kwenda Marekani kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya nchi yao na Israel.
Messi ashindwa kutamba kwa Al Ahly Kombe la Dunia la Klabu Inter Miami ya Lionel Messi wa imelazimishwa suluhu na Al Ahly ya Misri katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu.
Dili la Mbeumo bado halijaeleweka SWALI moja gumu, Bryan Mbeumo anakwenda wapi? Staa huyo wa Brentford amejikuta kwenye sintofahamu kubwa wakati huu akisakwa na vigogo wa Ligi Kuu England katika dirisha hili la majira ya kiangazi.
Hebu sikia hii kali ya Mascherano, Alonso STAA wa zamani wa Liverpool, Javier Mascherano amesema anamwombea mabaya Xabi Alonso kwamba asifanikiwe kwenye kibarua chake mpya huko Real Madrid.
Ni zamu ya ‘The Blues’ Kombe la Dunia la Klabu MCHAKAMCHAKA chinja, ndicho unachoweza kusema kuhusu kasi ya michuano ya fainali za Kombe la Dunia la Klabu, ambapo Chelsea itakuwa na kibarua kizito cha kukabiliana na straika wao wa zamani...
Nunez aingia anga za Napoli, Liverpool ikipokea ofa ya Al Nassr NAPOLI inakumbana na upinzani mkali kutoka timu za Saudi Arabia katika mpango wake wa kutaka kumsajilj straika wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez.