Search

77 results for SINDA MATIKO :

  1. Harmonize aachiwa, kupiga shoo Mombasa

    BAADA ya kusotea seli za Polisi Kileleshwa mjini Nairobi toka asubuhi ya leo, Rais wa Konde Gang, Harmonize ameachiwa huru.

  2. Homeboys, Tusker hapatoshi

    MABINGWA watetezi Ligi Kuu Kenya, Tusker FC, wanazidi kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wao huku presha ikionekana kupanda kwa Kakamega Homeboyz ambao kwa muda mrefu wamekuwa kileleni.

  3. Spier awaita mashabiki Gor uwanjani

    KOCHA wa Gor Mahia, Andreas Spier amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuwaiga wenzao wa AFC Leopards kwa namna wanavyoisapoti timu yao.

  4. Kamau: Mathare haiponi kushuka daraja

    HALI ya msoto wanayopitia mabingwa wa Ligi Kuu 2008, Mathare United inazidi kuwaweka pabaya huku kocha wao John Kamau aki ‘surrender’ na kukiri wazi, haoni wakiepuka shoka la kushushwa daraja...

  5. Kahata, hataki kuhata mpira

    MOJA kati ya viungo wabunifu kuwahi kutokea nchini Francis Kahata hana mpango wa kustaafu kabisa. Licha ya kuwa ubora wa kiwango chake umeshuka mno kuliko alivyokuwa miaka ya nyuma, Kahata mwenye...

  6. Pamzo aifanya Gor, aapa kuwabeba Police

    UTAKUWA umewahi kuisikia ile kauli ya mbaya wako kaja. Sasa ndicho Gor Mahia walichokutana nacho wikendi hii baada ya kocha waliyemtimua Sammy Pamzo Omollo kurejea na kuwapa kichapo kizito...

  7. Ingwe ni kupiga ma-draw tu, Aussems abambika

    JUZI Jumapili, AFC Leopards walipiga sare yao ya nane mfululizo baada ya kufungana mabao 1-1 na Sofapaka uwanjani Nyayo, Nairobi. Matokeo hayo yaliwaacha katika nafasi ya 11 na kama ulitegemea...

  8. Kiungo Gor asare soka, maisha magumu

    Nyota chipukizi kiungo wa Gor Mahia, Nicholas Omondi ameamua kuachana na mpira ili kusaka kazi inayoweza kumlisha. Omondi ameahidi kurejea kwenye soka lakini kwa sasa anasema amelazimika kusare...

  9. Vinara Kakamega na ngori ya Match-Fixing

    KOCHA wa vinara wa ligi kuu ya FKF-PL kwa sasa Kakamega Homeboyz, kakanusha madai kuwa wanabebwa na marefa. Vinara hao wameshtumiwa na baadhi ya wadau kuwa wanahusika kwenye vitendo vya...

  10. ULINZI STARS YACHUJA MALEJENDI WAO

    WIKI moja tu baada ya malejendi wa Ulinzi Stars kuahidi kubadilisha matokeo, mabosi wa wanajeshi hao wameamua kuwatimua na kumleta tena kocha wao wa zamani Benjamin Nyangweso. Kwa zaidi ya mwongo...

Previous

Page 3 of 8

Next