Mtanzania aanza kuzoea mazingira Misri MSHAMBULIAJI wa Makadi FC, Oscar Evalisto amesema ameanza kuyazoea mazingira ya soka la Misri na licha ya timu hiyo kushiriki daraja la pili, anakiri ni ligi ngumu na ngeni kwa upande wake.
Maajabu ya binti wa Beyonce na Jay Z HIVI karibuni katika tuzo za Grammy 2025, miongoni mwa wageni walihudhuria na kuangaziwa sana na vyombo vya habari ni pamoja na binti wa kwanza ya Beyonce na Jay Z, Blue Ivy Carter, 13, ambaye...
Dar Swim kushiriki mashindano ya taifa Kenya TIMU ya kuogelea ya Dar Swim Club inatarajia kushiriki mashindano ya taifa ya Kenya 'Kenya Aquatics Long Cource Championship' yanayotarajiwa kuanza Jumamosi, Februari 15 hadi 16.
Mtoto wa Matumla apewa KO ya Mama Februari 22, mwaka huu kwenye Ukumbi wa City Centre, Magomeni, Mafia Boxing inatarajia kufanya pambano lingine kubwa la Knockout ya Mama, huku mtoto wa bondia mkongwe zamani, Rashid Matumla...
Hamdi abanwa jeshini, Yanga yaangusha pointi MBINU za makocha Ahmad Ally (JKT Tanzania) na Miloud Hamdi (Yanga) zimeonekana kutoshana nguvu katika dakika 45 za kwanza wakati timu hizo zilipopambana kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar.
Mtanzania aitaka rekodi Misri BAADA ya kusaini mkataba wa miezi sita wenye kipengele cha kuongeza, mshambuliaji wa Kitanzania, Oscar Evalisto amesema anatamani kuandika historia ya kufunga mabao akiwa na Makadi FC ya Misri.
Mbongo ala shavu Misri MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mlandege FC ya Zanzibar, Oscar Evalisto amejiunga na Makadi FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili, Misri.
Hali ilivyo Manchester City MANCHESTER City bado inakwenda mwendo wa kobe kwenye Ligi Kuu England, lakini kinachosemwa wanataka kulitumia dirisha hili la Januari kuboresha kikosi chao kijanja ili kukifanya kirudi kwenye...
Gusa achia ilivyoibeba Yanga kwa TP Mazembe WALE waliokuwa wakiiponda Yanga ya Sead Ramovic kwamba haina kitu, kwa sasa huenda wanatafuta mahali pa kuficha sura zao, kwa namna Gusa Achia Twende Kwao ilivyoanza kulipa kwa kikosi hicho...
PRIME NYUMA YA PAZIA: Unamkumbuka Oscar? Amerudi nyumbani na akaunti ya Bakhresa UNAMKUMBUKA Oscar Dos Santos Emboaba? Tulimjua kwa jina moja tu la Oscar. Wakati mwingine Wabrazil wanatushangaza kwa kuwa na majina ambayo huwa hatukudhania kwamba wangeweza kuwa nayo.