Search

256 results for Nevumba Abubakar :

  1. Mvua yazitibulia Yanga, JKT, mechi yaahirishwa

    YANGA SC ilikuwa na hesabu zake leo iende Jenerali Isamuhyo kucheza na wenyeji wao JKT Tanzania ili kutengeneza mazingira mazuri zaidi ya kutetea ubingwa wao, lakini mvua kubwa iliyonyesha Dar es...

  2. JKT, Yanga zawahi Isamuyo, mechi hatihati kuchezwa

    MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania na Yanga huenda usifanyike kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo kutokana na kujaa maji kutokana na mvua, licha ya juhudi za kuyaondoa kuendelea...

  3. Malijendi: Hii dabi niyakushangaza

    Malijendi wa Simba na Yanga wamedai mechi ya Jumamosi hii itakuwa na mambo mengi ya kushangaza lakini watakaoenda uwanjani watainjoi soka.

  4. Ally Kamwe: Mabao 20? Simba sio dhaifu kihivyo

    KUELEKEA mechi ya watani wa jadi Machi 20, Yanga imesema haitaingia kwenye mchezo huo kwa kuwadharau wapinzani wao Simba kutokana na kupata matokeo mabaya kwenye mechi zao za...

  5. Yanga, Baobab zawekwa kiporo

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha mchezo kati ya Yanga Princess na Baobab Queens uliopangwa kuchezwa leo katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kutokana na kile...

  6. Singida Black Stars yaanza na kipa wa Afcon

    Timu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa kipa raia wa Sierra Leone, Mohamed Kamara (24) akitokea Horoya AC ya Guinea kwa mkataba wa miaka miwili atakayeanza kutumika kikosini hapo...

  7. Chama, Aziz KI wapishana na mamilioni

    Achana na hamasa ya goli la mama ambalo Rais Samia Suluhu Hassan aliahidi kutoa Sh 10 milioni kwa kila bao litakalofungwa na Simba na Yanga katika robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini...

  8. Madogo wanaokiwasha WPL

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea kuwa na mvuto wa kipekee huku kila timu ikipambana kuhakikisha inafanya vizuri. Timu 10 zimekuwa zikiundwa na wachezaji wa aina mbalimbali wadogo kwa...

  9. Shikangwa: Straika Simba Queens anayeiwaza England

    MAKIPA wa Ligi Kuu ya wanawake wanamfahamu vizuri straika wa Simba Queens, Mkenya Jentrix Shikangwa ambaye alikuwa mfungaji bora wa WPL msimu uliopita akifunga mabao 19.

    New Content Item (1)
  10. Clara Luvanga anawatungua tu Saudia

    Straika huyo wa zamani wa Yanga Princes amekuwa na mwendelezo mzuri kwenye ligi ya nchini Saudia akifunga mabao 11 katika ligi hadi sasa.

Previous

Page 3 of 26

Next