Yaliyomo ndani ya begi la matibabu la daktari wa uwanjani
KWENYE michezo, majeraha ni suala linaloweza kutokea muda wowote ule. Iwe kwenye soka, riadha, kikapu au mchezo mwingine wa aina yoyote ile unaohusisha purukushani, daktari ni lazima awepo na...