Search

544 results for Damian Masyenene :

  1. Sakata la Kakolanya liko hivi Singida FG

    BAADA ya taarifa za nahodha wa Singida Fountain Gate, Beno Kakolanya kutoweka kambini saa chache kabla ya mchezo dhidi ya Yanga katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, hatimaye uongozi wa...

  2. Yanga yakoleza mzuka wa Dabi, Guede awaka, Azizi Ki hakamatiki

    WAKATI Simba ikiianza wiki ya Dabi ya Kariakoo kinyonge baada ya sare ya 1-1 na Ihefu katika mechi ya jana, watani wao Yanga wameongeza mzuka baada ya jana kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya...

  3. Mvua yaleta wasiwasi mechi ya Singida FG na Yanga

    Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Fountain Gate na Yanga utakaoanza saa 10:00 jioni, mvua kubwa inaendelea kunyesha katika jijini la Mwanza na...

  4. Pamba yafunga hesabu Nyamagana, yamwagiwa Sh10.5 milioni

    Pamba imecheza mechi 14 kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza bila kupoteza, ikishinda 11 na sare tatu.

  5. Kyombo haoni ugumu kwa Bacca, Mwamnyeto

    Mshambuliaji wa Singida Fountain Gate, Habib Kyombo amesema licha ya safu ya ulinzi ya Yanga ikiongozwa na mabeki, Ibrahim Bacca na Bakari Mwamnyeto kuwa na ukuta mgumu, lakini wamepata mbinu za...

  6. Gamondi: Aucho bado, atamba kubeba makombe

    Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mazoezi ya mwisho leo jijini Mwanza yataamua hatma ya kiungo, Khalid Aucho kama atatumika katika mchezo wa kesho ama la licha ya kucheza kwa dakika chache m...

  7. RC Mwanza akoleza mzuka Pamba

    WAKATI Pamba Jiji ikitarajiwa kushuka uwanjani kesho kucheza mechi ya mwisho ya Championship ikiwa nyumbani dhidi ya FGA Talents, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewaongezea mzuka mastaa wa...

  8. Chanongo ana ramani ya Pamba Ligi Kuu

    PAMBA Jiji ina mechi tatu za kuvunja mwiko wa kutopanda Ligi Kuu kwa zaidi ya miaka 20 sasa, huku staa wake, Haruna Chanongo akifichua kitakachowabeba na kutimiza ndoto iliyosubiriwa muda mrefu...

  9. Maguli aibeba Geita Gold Kombe la Shirikisho

    Mwanza. GEITA Gold imefuzu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kuichapa Rhino Rangers mabao 2-1 katika mchezo wa raundi ya 16 bora uliofanyika Uwanja wa Nyankumbu, mjini Geita, jioni ya...

  10. Mfaransa Tabora aanza mikwara

    WAKATI Singida Fountain Gate iliyo chini ya Jamhuri Kihwelo 'Julio' ikiendelea kujifua ufukweni jijini Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Tabora United, Denis Goavec amewatumia salamu akiwatisha...

Previous

Page 3 of 55

Next